Our Leader's stubborness will cost us dearly

Our Leader's stubborness will cost us dearly

Katibu mkuu wa chama anasema tumepigana vita nyingi hivyo tusihofu!
Hivi tumepigana kuliko Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ye aendelee kutwanga viporo tu,mambo ya kitaalam aachane nayo.
tapatalk_1581812064763.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishauri kabisa at this point wananchi waanze kutumia masks, watasababisha shortage itayowaathiri zaidi healthcare workers wanaotuhudumia na wagonjwa wa Corona.
Italy, US na nchi nyingine zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa PPE, na sisi hatuna uzalishaji wa kutosha wa PPE unaoendana na demand na tujue misaada take time , tuwaachie hizo mambo clinicians na wagonjwa.
Let's not tip that critical balance of demand and supply of PPE. Please,be vigilant but do not panic.
 
Kama kuna wakati tunahitaji kumsikia Rais wetu, Rais wa wanyonge, akituhaikikshia usalama wetu na kutupa tumaini, ni sasa.

Huu ndio wakati wako kama jemadari wetu mkuu kutueleza mikakati ya kututoa kwenye hili giza totoro tukikabiliana na adui asiyeonekana.

Huu ndio wakati wa kutupa mrejesho wa hatua unazochukua kama kiongozi mkuu wa taifa kutuepusha na hali ya wasiwasi iliyotanda kama wingu.

Huu ndio wakati wa kulihutubia taifa na kuliondolea hofu na woga kufuatia taarifa za maafa yaliyoikumba dunia kufuatia ugonjwa huu wa ajabu uaosambaa kwa kasi ya moto wa nyika.

Huu ndio wakati wako wa kuwajaza imani na ujasiri kwamba uko kwenye usukani na utatuvusha salama wala hakuna cha kututisha wananchi wako ndani ya taifa hili.

Rais wetu uko wapi? Taifa linakuhitaji. Wananchi wanakuhitaji Tunataka tusikie hata sauti yako.
 
Huna lolote utopolo Wewe zaidi ya kutaka kujionyesha na wewe unajua kiingereza.
Enhee! Wacha wee,kwa hiyo anajionyesha anajua kiingereza. Jenga hoja,jibu hoja mkuu. Acha character assassination.
 
CORONA ana hamu sana na vichwa vya watz coz tumemdharau sana
 
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.

Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

.
kwa takwimu hizi na uwezo wa nchi zetu za africa hasa jangwa la sahara kwa mtazamo wangu naona MASSACRE kubwa itatokea maana uchumi wa hizi nchi ni mdogo pia utaalamu na vifaa ni mdogo sisi hali naona itakuwa mbaya zaidi kuliko hata hizo nchi za Dunia ya kwanza
 
We had an ample time to take crucial measures on Corona virus but our leaders kept on dragging their feet.

One key issue where Magufuli's government messed up, is a refusal to shut down borders allowing the infected to come in

Even up to the moment, foreigners are still coming in and the government is deluding itself thinking that the 14 days quarantine is enough. Let me tell you one thing even a notion of quarantining an infected person inside your own borders is still risky! He can still accidentally pass a virus to someone who he can come in contact with(such as room Cleaners, luggage senders, you name it).

The other thing is Corona virus has proven to be very elusive, you can test a person multiple times and find him negative while he is positive.

What about our testing capacity, can we effectively test all foreigners who come in here?

Apart from that, we made a huge mistake discouraging face masks while it is a testimony from countries which had a battle with virus earlier confirming that wearing masks was a game changer in this struggle.

The government should now take drastic measures to stop unnecessary congregations, Stop vijiwe vya kahawa, stop vikao vya harusi, sherehe

If we must allow people to enter prayer houses let everyone who go in wear mask otherwise should not be allowed to go in

Let people who use public transport wear masks otherwise should not be let in

Distribute Chloroquine to every household and give instructions how to use pills once a person have symptons of Corona. This is important because no enough hospitals or medical staff to attend everyone.

We hardly have only Three days up to a week to act, beyond that we are in big big trouble.

Statistics are not in our favor, we have seen countries which recorded very few cases in their early days of outbreak BUT a month later cases are in tens of thousands. Tanzania is not an Island, Stubbornness of our Leaders will cost us dearly.
Pia sishauri kugawa dawa zozote kwenye kaya. Corona ni novel disease, bado hatuujui huu ugonjwa vizuri. Tafiti ni chache.
Elimu ya kutosha juu ya huu ugonjwa kwa wananchi bado ni ndogo na BCC ndio kabisa.
Hatuna uhakika wa efficacy ya Chloroquine kwenye kutibu huu ugonjwa. Lakini pia hatuwezi kufanya mass drug distribution/administration kama tiba au prophylaxis bila ya kuwa na WHO guideline, kumbuka kuna cases za fatal overdose huko Nigeria na US. Kiufupi, tafiti hazitoshi.
Nasisitiza, resilience, vigilance, surveillance and approved preventive measures.
 
Angalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.

Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

.
Kwa hatua hii ya BOT, naamini Sasa Magufuli naye Ameelewa COVID-19 is serious, tujiandae kwa Curfew/lockdown - JamiiForums
 
Kwa umaskini wa nchi yetu hatuna option yoyote bora kwa sasa,kila hatua itakayochukuliwa itakuwa chungu kama shubiri.
Damned if we do,damned if we don't.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naandika nafuta, naandika tena nafuta...sijui kama safari hii nitafuta au itabaki. Kama ikibaki naomba kusema yafuatayo...kwa miaka sasa inakaribia 50 tuna chama tawala, CCM. Katika kipindi chote hicho tumepitia mengi kama Watanzania...mengi ambayo kwa akili ya kawaida, binadamu walio wengi hawangevumilia isipokuwa sisi tu, Watanzania! Je tuna laana?

Nimeshindwa kuendelea...machozi yananitoka! Labda nitaendelea nikija kutulia.

Mag3
Ujumbe wako hata Mimi umenitoa machozi...! Kama sikosei hii bila ya shaka ni laana ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere(rip)... !!!
 
ukisoma comments unaboreka!! hivi wajameni hamchoki kuandika kushinikiza lockdown msiyoijua? wengine pangu pakavu tuoneeni huruma, najua kuna watu mna maslahi yenu kisiasa kiuchumi na kijamii kwa lockdown basi si myataje tu badala ya kuzunguka zunguka daily na nyuzi kibao! kama ni Corona kusambaa mnavyotaka nyie tayari tungekuwa sote tumekufa! ugonjwa ulianza Dec 2019 huu ni mwezi wa tano sasa ndo tuna 19 cases minus waliopona wakati US tayari ina wagonjwa laki mbili kasoro kiduchu!! ndugu wapenda lockdown si mhamie Uganda na familia zenu mkafungiwe wote mnaogopa kufa kwa corona? mmeambiwa msali ubishi umewajaa! nzige walipotea njia hawakuja, kimbunga kikapiga huko na huko hakikuja na Corona pia itadunda inshaallah!

total lockdown is a source of big politically influenced chaos na yaweza kuzalisha balaa zingine kibao, lockdown ikianza yawezekana baadhi ya raia wataanza kupimana ubavu na wajeda na manjagu! nadhani kuna watu wanataka chaos wapitie humo humo wanufaike! tuwapuuze!!
 
Nani kakwambia tunazungumzia lockdown hapa?
Hapa tunazuia kufunga mipaka na kuzuia wageni kuja nchini
 
ukisoma comments unaboreka!! hivi wajameni hamchoki kuandika kushinikiza lockdown msiyoijua? wengine pangu pakavu tuoneeni huruma, najua kuna watu mna maslahi yenu kisiasa kiuchumi na kijamii kwa lockdown basi si myataje tu badala ya kuzunguka zunguka daily na nyuzi kibao! kama ni Corona kusambaa mnavyotaka nyie tayari tungekuwa sote tumekufa! ugonjwa ulianza Dec 2019 huu ni mwezi wa tano sasa ndo tuna 19 cases minus waliopona wakati US tayari ina wagonjwa laki mbili kasoro kiduchu!! ndugu wapenda lockdown si mhamie Uganda na familia zenu mkafungiwe wote mnaogopa kufa kwa corona? mmeambiwa msali ubishi umewajaa! nzige walipotea njia hawakuja, kimbunga kikapiga huko na huko hakikuja na Corona pia itadunda inshaallah!

total lockdown is a source of big politically influenced chaos na yaweza kuzalisha balaa zingine kibao, lockdown ikianza yawezekana baadhi ya raia wataanza kupimana ubavu na wajeda na manjagu! nadhani kuna watu wanataka chaos wapitie humo humo wanufaike! tuwapuuze!!

Rubbish....!!
Kipi bora? Kuruhusu watu WAENDELEE na shughuli Kama kawaida huku wakiendelea KUENEZA/AMBUKIZA CORONA au TOTAL LOCKDOWN uponye maisha ya Watz?
 
Back
Top Bottom