Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
sasa ukizungumzia wapemba na wazanzibar ndo unazungumzia watanzania!!....au we unaelewaje??Sawa sina ubishi. Tatizo ninyi watanzania kwa sababu mnaongea kiswahili sanifu mnadhania kwamba nyinyi ndio waswahili original. Waswahili original wanatokea Mombasa, Pemba na Zanzibari kama sijakosea.
