McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM
Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa na Polepole siku 2 nyuma amesema kwamba wakati yeye anaingia ACT mwaka 2019 hakuwahi kusikia kauli kama yao na hajui lolote kuhusu na kama lilikuwepo basi lilikuwa ni "Behind The Scenes"