OTG connected successfully. Msaada katika hili

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,918
2,000
Hadi saa tano usiku simu yangu ilikuwa haina tatizo lolote na ilikuwa ikichaji vizuri tu ila asubuhi nimeiweka chaji ila haichaji nikapita humu jukwaani kuona kama nitapata uzi ulioelezea tatizo kama hilo ila sijakuta.

Sasa kila baada ya muda inatuma ujumbe kwenye screen kuwa"OTG CONNECTED SUCCESSFULLY"

Nikizima simu chaji inaingia kama kawaida naombeni msaada katika hilo wataalamu wa hardware na software.

CHIEF MKWAWA
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,059
2,000
Hapo kuna tatizo la hardiware upande wa Charging system na Usb connectivity. Kwanza inatakiwa ujue OTG ni nini.

USB OTG ni njia inayokuwezesha kuconect simu yako na peripherals nyingine kupitia port ya usb yako kwenye simu. Vitu hivyo unavyiweza chomeka ni Flash disk, Mouse, Keyboard hata Printer.

Sasa kwa issue yako ni kwamba, ukichomeka USB/ Au charger ili ucharge simu yako, yenyewe inadetect kama umekonnect Device kama Flash na nk. Wakati ww umeweka chagrer.

Hii inaweza tokana na kuvurugika kwa Vipini fulani ( Connectors) kwenye Charger/ Usb yako au vipini vya kwenye simu hapo kwenye port ya usb.

So pindi unapochomeka hayo meno/ Vipini havionani kwa usahihi ndio maana simu inadetect kitu kingine.

solution

Njia ya kwanza tauta charger/ USB cable nyingine ujaribu uone kama tatizo linaendele.
Kama tatizo linaendelea basi ujue tatizo lipo kwenye simu na sio USB cable/ Charger yako.

Baada ya hapo kama una idea kidogo ya ufundi, chungulia kwenye charging port/ usb port ya simu yako uone kama kuna proper arrangement ya Vipini/ Meno/ connectors.

Kama yamevurugika unaweza nyoosha kwa kutumia sindano ya kushonea nguo. Kama huoni au huelewi peleka kwa fundi akusaidie kubadili USB host/ port ya simu yako.

Hakikisha unapata fundi mzuri. Otherwise simu yako utaitupa
 
Nashukuru kwa mchango wako na wenye majibu mazuri na ushauri pia.

Jioni nimeiweka chaji kwa chaja ile ile na inachaji sasa hivi ila ile message ya OTG connected successfully naona kwa sasa haitokei tena.

Nina wazo la kununua chaja mpya nione kama itatatua hili tatizo. (Jana kuna mtu aliitumia kwenye simu ambayo inasumbua kuchaji hiyo charger yangu baada ya hapo tatizo likatokea kwenye simu yangu pia)

Likitokea lingine nitakuja ila kwa sasa naona inaendelea vyema.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,059
2,000
Asante kwa feedback karibu tena
Nashukuru kwa mchango wako na wenye majibu mazuri na ushauri pia.

Jioni nimeiweka chaji kwa chaja ile ile na inachaji sasa hivi ila ile message ya OTG connected successfully naona kwa sasa haitokei tena.

Nina wazo la kununua chaja mpya nione kama itatatua hili tatizo. (Jana kuna mtu aliitumia kwenye simu ambayo inasumbua kuchaji hiyo charger yangu baada ya hapo tatizo likatokea kwenye simu yangu pia)

Likitokea lingine nitakuja ila kwa sasa naona inaendelea vyema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom