Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,755
Hadi saa tano usiku simu yangu ilikuwa haina tatizo lolote na ilikuwa ikichaji vizuri tu ila asubuhi nimeiweka chaji ila haichaji nikapita humu jukwaani kuona kama nitapata uzi ulioelezea tatizo kama hilo ila sijakuta.
Sasa kila baada ya muda inatuma ujumbe kwenye screen kuwa"OTG CONNECTED SUCCESSFULLY"
Nikizima simu chaji inaingia kama kawaida naombeni msaada katika hilo wataalamu wa hardware na software.
CHIEF MKWAWA