Otea ni nani atafuata kupewa U plutinum member

Otea ni nani atafuata kupewa U plutinum member

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,531
Uzi huu ni wa kubashiri ni nani atakae fuatia kupewa cheo cha plutnum member ,yaani mtag unaemuhisi au yule unaevutiwa na mada zake au ushauri wake binafsi namuhisi Sky Eclat.
Karibuni .
 
Platinum Member hupewi bali unaulipia kama njia ya kuwaboost JF.
 
Back
Top Bottom