OSHO: The Art of Dying (Tafsiri)

Ngoja nitulie nijifunze Kifo vizuri, Kifo Sitaki kukiogopa! Nataka nikipende, muda wangu Ukifika nataka niondoke kwa Amani na Furaha, no matter itakua Katika Madingo gani, nakipenda Kifo
 
Ngoja nitulie nijifunze Kifo vizuri, Kifo Sitaki kukiogopa! Nataka nikipende, muda wangu Ukifika nataka niondoke kwa Amani na Furaha, no matter itakua Katika Madingo gani, nakipenda Kifo
Kabisa.
 
Kuna watu mitazamo yao imeganda pahala kama dimbwi la tope "" hawataki lujifunza vitu vipya na kila jambo geni linalokuja katika fikira zao " huwa wanalipinga ""...sijui wakoje "".....SIJASOMA MJADALA VYEMA " "NGOJA NIANZE KUUPITIA VIZURI SASA """.......
 
Ngoja nitulie nijifunze Kifo vizuri, Kifo Sitaki kukiogopa! Nataka nikipende, muda wangu Ukifika nataka niondoke kwa Amani na Furaha, no matter itakua Katika Madingo gani, nakipenda Kifo
Inawezekana tumeshaandaliwa vya kutosha kukiogopa kifo ili tusifanye mambo fulani au tutekeleze matakwa ya watu fulani.
 
Inawezekana tumeshaandaliwa vya kutosha kukiogopa kifo ili tusifanye mambo fulani au tutekeleze matakwa ya watu fulani.
Kifo ni hatima ya kila kiumbe, na hakiepukiki.
Kifo ni adhabu ("utakufa hakika")
Kifo ni adui na hakiwezi kuwa rafiki.
Kifo hakistahiri kwa binadamu mchanga, mtoto, kijana, mtu mzima anayepaswa kufanya kazi za kuzalisha na kuitawala dunia.
Kifo ni cha binazamu aliyeisha nguvu, Mzee sana, aliyekula chumvi nyingi, aliyeisha nguvu na hana anachoweza kufanya kwa kuzalisha au kutawala.
Kwa binadamu mzee sana, kifo ni baraka kwake, ni rafiki yake, na hatima stahiki kwake, kwani jumba lake yaani mwili wake umechoka na kuchakaa kiasi cha kutohitajika duniani.
Hapo kifo chahitajika sana kwa mzee huyu, kama uhai unavyohitajika sana kwa kijana huyu.
Hapo hata jamii haistaajabu tena, haisikitiki tena, hai lii tena kwa kifo cha mzee, bali inafurahia pamoja na yeye, huyo mzee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom