Osha macho tena akilia anavutia zaidi

Osha macho tena akilia anavutia zaidi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
DSC00055.JPG
DSC09920.JPG
DSC09847.JPG
 
Wa kwanza hapo juu Bi Aisha
Huyo halii..bali anamsisitiza mwanaume dowezi....."Ondoka, pitia jikoni haraka wewe...!!, Mume wangu huyo hapo anaingia, unataka niuawe mwenzio eeh?"
 
demn....hii haliii wapiliii hao wawiliii sina kauli
 
Duuh,kweli wakubwa wanafaidi,hasa kwa wamilikaji wa hao wa kati
 
Hapo kwenye red pamenipa mshtuko wa nafsi..:wink2:
 
Dah!huyo mwenye nyekundu!
lazima kuchelewe kucha, tutakesha tukiomba na kutubu
 
Duh!siku tayari imeshaharibika,hipsi za huyu mwenye gauni nyekundu zinanimaliza kabisa!!
 
Niliwasikia wakisema; "Uzuri wa mwanamke ni Reception, bodi utanunua kwa Wachina" Nikiwatizama wale wawili pale juu naona kama mmoja wao ana mapaja ya Kichinachina. Uongo??!! Ukweli???!!
 
Hapo Bi Aisha halii, bali anafikiria namna ya kujitetea maana mmewe yupo mezani anapitia SMS kwenye sim ya Bibie. Sa kwa vile Bibie alipata SMS moja toka kwa Mchizi wake na akasahau kuifuta. Anatafakari maana kaona jamaa ameanza kugeuka sura. Umeona eeeh!.
 
hahahahaha...huyo wa kwanza kati ya hao watatu chini kashika simu ni mtoto wa mkuu wa mkoa wa kigoma kanali simbakalia....bibti alisoma weru weru
 
Back
Top Bottom