Mmarekani ana maigizo mengi tu haya kwenda mwezini miaka ya 60 alipiga picha area 51 kule Nevada desert akaiaminisha duniya kuwa amekanyaga mwezini yote hii ni kutafuta hegemonysm waliosoma ir watanielewa.
Mimi manzese wewe Marekani na bado kuna watu huko wanasema ajafa wewe ulikutana na mke wake akakwambia kuwa nimewaona wanammiminia risasi?au basi na wewe ulipata google youtube na documentary za BBC??pevuka usiwaamini wamarekani kupitiliza hata cinema unaona ni matukio ya kweli??
Asante mwenye akili ndefu kama minyoo.Akili yako fupi kama pua yako
Ila mkuu bila kuwa na hisia za udini kuna article moja niliisoma kuhusu 9/11 ni mpango mahususu uliosukwa na utawala wa george bush ndivyo ilivyoeleza sitaki kuamini sana lakini yawezekana ikawa hivyo!Tatizo waislam wanaona aibu jinsi waislam wenzao (magaidi) wanavyoiaibisha dini yao...sasa ili kuivunja hio aibu wanasingizia hao magaidi wanatumwa na us.... kwanini us atumie magaidi kwaajili ya kuwaua wananchi wake mwenyewe,je nikwaajili ya kuuchafua uislam...ok baada ya kuuchafua uislam atafaidika na nini kiuchumi au kisiasa?...je kwanini hajatumia huo ugaidi kuwachafua wachina au russia ambao ni maasimu wake wakubwa haswa kiuchumi....nani asiyejua kuwa waislam kitabu chao sehem kubwa wanafundishwa kuua ua tu...hata hapa bongo silaha zimekutwa malangapi kwenye miskiti!....watu wanawaza kuvumbua masayari huko na mateknolojia ya ajabu nyie mnaangaika na stori za dini dini dini
Mind control katika ubora wake,Ndugu wao waliingia na chopper usiku zilikuwa zinapaa chini ya kiwango cha radar detection kwa hivyo calculations zao ni kwamba muda waliokuwa nao ni wakati wa kutua mpaka jeshi litakapofika kwa hesabu zao na mission ilikuwa ni ya muda mfupi walishafanya physical simulation exercise ya nyumba, vyumba na askari wenyewe awakujua target ni nani mpaka usiku wakazi; hesabu zilikuwa timed how long kabla awajafikiwa.
Kwenye documentary kuna commentary ya Obama, CIA chief operations officer na video nzima za tukio lenyewe. Mbona wake zake awakufa wala watoto wapo wanaweza toa ushahidi ni kitu gani kilitokea wao waliuwa walinzi wake tu; sio kwamba kila kitu siri kuna ushahidi wa kutosha jinsi alivyouwa na maiti yake, kuna watu waliokuwemo na kupona, ushahidi wa majirani na serikari ya Pakistan kulalamika marekani kuingia nchini kwao bila ya kibali.
Ila mkuu bila kuwa na hisia za udini kuna article moja niliisoma kuhusu 9/11 ni mpango mahususu uliosukwa na utawala wa george bush ndivyo ilivyoeleza sitaki kuamini sana lakini yawezekana ikawa hivyo!
Tatizo waislam wanaona aibu jinsi waislam wenzao (magaidi) wanavyoiaibisha dini yao...sasa ili kuivunja hio aibu wanasingizia hao magaidi wanatumwa na us.... kwanini us atumie magaidi kwaajili ya kuwaua wananchi wake mwenyewe,je nikwaajili ya kuuchafua uislam...ok baada ya kuuchafua uislam atafaidika na nini kiuchumi au kisiasa?...je kwanini hajatumia huo ugaidi kuwachafua wachina au russia ambao ni maasimu wake wakubwa haswa kiuchumi....nani asiyejua kuwa waislam kitabu chao sehem kubwa wanafundishwa kuua ua tu...hata hapa bongo silaha zimekutwa malangapi kwenye miskiti!....watu wanawaza kuvumbua masayari huko na mateknolojia ya ajabu nyie mnaangaika na stori za dini dini dini
Snowden aliyesema Osama hajafa ni muislam? Fikiria kwa kutumia kichwa siyo matako.
Mnaosema osama yuko hai weka ushahidi hapa....
toa porojo zako hapa!lete na wewe ushahidi wako unaoonyesha kama ni yy aliyekufa
Osama Bin Laden killed: Inside the raid: http://youtu.be/OA4enAfq8zs