Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu



Hiyo kumkamata mtu akiwa hai ni kwa mujibu wa mtazamo na matakwa yako...hata hivyo walimkamata akiwa hai na wakamuua wenyewe...na kwanini wafanye kazi kubwa ya kukuubilia kuwa amekufa...kama huamini si basi...na kwa taarifa yako osama alikuwa anatafutwa akiwa hai au amekufa
 

Attachments

  • 1449590270473.jpg
    7.2 KB · Views: 540
Conspiracy theorists bwana mna mambo. Osama is alive, the lunar landing was faked, September 11 was an inside job, Aliens were captured At Roswell and are locked at Area 51, Adolf Hitler is still alive in Argentina, Mwl. Nyerere was killed and the list goes on and on. Kuna ukweli wenye ukweli kamili au yote ni uwongo wenye ukweli nusu nusu? Aaaaargh!
 

hizo ni propaganda kijana sio wakati wa kudanganyika tena!hebu kaa chini ujifunze na usiwe kama kuku aliyekatwa kichwa... then usiwe mwepesi kuamini bila kujuwa kile ambacho kimetokea! ni nani asiewajuwa hao makelb kwa usanii! kwani mazingira yenyewe hatujaonyeshwa badala yake twaonyeshwa picha tu sasa tutaamini vipi? wanadai kuwa hawashindwi kitu ndio wanathibitisha kuwa wamemuuwa wakati mwili wake hawajatuonyesha hii ajabu kweli,kijana huko ni kudanganyika bila kujuwa kuwa umedanganyika....kwaheri
 

Ni vigumu kuamini eti Wamarekani wanaongopa kudai kuwa walimuua gaidi Osama. Kama wanadanganya ni kwa nini iwe muda huu na si kabla? Je hao US waliwapa rushwa Pakistan ili wailalamikie US kwa kuingilia sovereignity yake? Halafu Musharaaf aliyekuwa rais wa Pakistan hapo zamani akiwa ugenini alisikika akiilaani US na kusema kuwa walitakiwa waiarifu serikali ya Pakistani baada ya kugundua anapokaa ili wamkamate pamoja ni kwamba naye alipewa rushwa? Na tena yule nesi aliyetuhumiwa kutoa taarifa zilizowezesha kufahamika anapokaa Osama hivyo huyo nesi akashtakiwa na serikali ya Pakistani nao ulikuwa usanii wa serikali? Na huo usanii ulifanywa na serikali ya Pakistan kwa lengo gani na kwa faida ya nani?
 

Kiongozi wa alshabaab aliuawa na jeshi la marekani,alshAbaab wamekili,maiti haijaoneshwa je na hilo unapinga kuwa hajafa hadi uoneshwe maiti?....michael jackson kafa maiti yake ushaiona?
 

Ongezea na hii...Na wife wa osama nao wamepewa rushwa?maana nao wanakiri kuwa osama aliuawa palepale kwa risasi
 

Wacha kula hashish km mboga kijana.
Hizi hadith za sungura na Paka wapelekee wagalatia.

Eti kaliwa samaki.
.
Teh teh teh.

Mkubwa mzima unaingia mkenge kilainiii.
 
Wacha kula hashish km mboga kijana.
Hizi hadith za sungura na Paka wapelekee wagalatia.

Eti kaliwa samaki.
.
Teh teh teh.

Mkubwa mzima unaingia mkenge kilainiii.

Kabla ya kuthibitisha uongo,thibitisha ukweli
 
Kabla ya kuthibitisha uongo,thibitisha ukweli

Ukweli gani unaotaka wewe na Mimacho ka ngumi ya mwizi!

Wapi umeshawahi kusikia GAIDI number 1 duniani Eti auwawe, kisha akatupwe baharini.

Wazungu wanadhani wote wapumbavu.
Nyie akili Kuambiwa atakachosema Mzungu mnabeba mazima tu.
Leo kuna Waafrika Mamilioni waabudu picha ya Holywood actor.
Tena Ukimwambia ukweli Anakutusi na Kukuona mbaya.

Miafrika ni Shidaaa.
 
Marekani wanavyopenda misifa kweli hawajamuonyesha hata sura kweli???!!
 

Viongozi wangapi wa bokoharam somalia wameuliwa na ndege za marekani ,na maiti hazijaoneshwa ,na bado boko haram wakakiri kuwa hao watu kweli wamekufA?..sasa wewe kaa na upuuzi wako wa kuamini mtu kufa lazima uione maiti yake...baati mbaya wazungu hawafanyi maswala hayo yao kishabiki eti kukuaminisha kweli fulani kafa...huo ni ujinga wa waafrika na waarabu
 

We na mimacho yako mikubwa habari hizi huna pa kuzipata zaidi ya ITV 😄. Ntajadili na wewe ntaiza kichwa tu.

Wanavijiji km nyie mnabishana na redio mi ntakuweza?
Kafe mbele. Huna ulijualo
 
We na mimacho yako mikubwa habari hizi huna pa kuzipata zaidi ya ITV 😄. Ntajadili na wewe ntaiza kichwa tu.

Wanavijiji km nyie mnabishana na redio mi ntakuweza?
Kafe mbele. Huna ulijualo

Think free, isitizame jambo baada ya kujifunga kitambaa cha dini usoni, hautapata jibu sahh..I believe ungekuwa mpagani ungesema osama kafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…