Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Matafute mtu aliyefika Libya, atakujuza.
Unaweza kuwekewa picha nzuri za baadhi ya sehemu za jiji la Dar zikapendeza machoni kuliko hata za Miami, FL.
Tafuta aliyepata kufika Libya atakujuza. Sina mengi
 
Ngizwile mphuwethu,siyabonga kakulu kwa kutuambia ukweli huu. Lol
 
Wewe mwenyewe wajua kuwa Issa ni wa kuchonga. Sawa wewe endelea naye ila muda si mrefu utajua nani fundi na kibarua ni nani! Tunawajuaga wakati wa kulipana mishahara!
YESU juuu!
issa wenu hooi!
...................... Usiwe na wasi wasi ! ametakasika nabii Issah (YESU) na Uzushi wenu, yakuwa MUNGU alivishwa nepi na akawa anakula mikate ! na akaenda choo !
 
Matafute mtu aliyefika Libya, atakujuza.
Unaweza kuwekewa picha nzuri za baadhi ya sehemu za jiji la Dar zikapendeza machoni kuliko hata za Miami, FL.
Tafuta aliyepata kufika Libya atakujuza. Sina mengi
Walibya ninao wajua mimi wanasema vingine siyo propaganda labda kwavile wao wamebaatika kutembea, lakini face lift ya sehemu kazaa za jiji kwangu miye ni maendeleo maana watu wameekeza mda, pesa na juhudi zao kufanikisha
 
very right mku

kisha utasikia nyerere aonekana burundi
Yesu alikua mrangi
mbowe na sokoine ni baba mmoja mama mmoja
salim ahmed salim ni ndugu yake slim yule tajiri wa mexico
papa john paul alisilimu kabla ya kufa
Dr. Slaa ni mpare wa mwanga
Mengistu Haile Mariam ndio Idd azan zungu

khe khe kheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

waswahili kwa utomaso hatujambo
 
Walibya ninao wajua mimi wanasema vingine siyo propaganda labda kwavile wao wamebaatika kutembea, lakini face lift ya sehemu kazaa za jiji kwangu miye ni maendeleo maana watu wameekeza mda, pesa na juhudi zao kufanikisha

Mtafute mtanzania yoyote aliyefika Libya atakujuza, na sio walibya wenyewe.
 
mkuu hapo umenivunja mbavu zangu LOL!!
 
Mtafute mtanzania yoyote aliyefika Libya atakujuza, na sio walibya wenyewe.
Hapo sasa sijakuelewa mlibya aliyefika tanzania na mtanzania nani anaijua tanzania zaidi? Mimi ningesema Mtanzania
 
Kwa imani yako huwezi kujua ukali wa dua ya mwenye kudhulumiwa .Alishindwa Bush na atashindwa Obama.Vuvuzela Utakuja kunipa mkono.
 
Kwa imani yako huwezi kujua ukali wa dua ya mwenye kudhulumiwa .Alishindwa Bush na atashindwa Obama.Vuvuzela Utakuja kunipa mkono.

Yakitendeka unayoyanena nitakutafuta, al habibi!
 
Mambo ya kufikirika, japo inakuuma lakini kitu kimoja kinabaki - Osama will never walk on planet earth again!!! Obama nae atapita kama sisi sote lakini angalau tutaishi siku kadhaa bila OBL!! Hakuna mchezo wowote hapa - Osama ni marehemu!!
 
Si wengi wenu humu mlikuwa of the opinion kwamba Osama hajafa yu hai! Haya mbona hamuwaombi Al Qaeda picha za maiti ya Osama?
 
Big up VZ! Kwa kuongeza unakufa ukimwi anatafutwa mchawi alikutupia jini ukimwi!
 
osama is dead and lost under sea. tugange jayajo. Osama ni history
 
Kumbe kuna watu bado wanaweza kuota kwamba wamejenga angani ,eh? Huyo Ami anajaribu kutunga stori mpya ambayo hata mwenyewe haiamini ila anataka kutuaminisha! je yeye anajua alipozikiwa OBL?
 
hii picha imechakachuliwa ukiangalia vizuri picha zote mbili macho ya anayesadikika ni Osama ni tofauti
 
Sasa Alkeda wamethibitishaje? Walipewa mwili wake wakauzika?
hakuna haja ya kupewa mwili wake-kama wao ndo walikuwa wanafanya nae michakato na walikuwa wanajua alipo na wameshaona USA wameshafika hapo na wenzao wameshauliwa na Osama hayupo unategemea waseme nini tena?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…