Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Ama kweli wamerakan wameamua..watafanya kila propaganda,ila ht mtt mdogo hili hawez kulikubali


Hata mimi nina mashaka na kifo cha Osama ila ninachoshangaa ni kwa nini watoto wake hawakujitoa mhanga.
 


Dah hapo nimecheka sana. Osama alikuwa anapenda bangi hadi akaamua kuwa mkulima wa bangi!
 
Piaa wayahudi hawajawahi kupinga kuwa Yesu siyo Mungu. Wao wanachoamini ni kwamba Masih hajazaliwa ambaye ni Yesu. Wanaopinga Yesu siyo Mungu ni waarabu na wafuasi wao ambao sijui kama na wewe ni mmoja au?

....................... una uhakika na hilo, maana QURAN inasema wanasoma kitabu kimoja lakini hawaelewani ! ulizia vizuri kuhusu YESU na WAYAHUDI !
 

.........Maswali yameainishwa vizuri ndugu yangu, mbona unayakwepa ?
1. Hakuwa na silaha (kwa maelezo yao wenyewe!) sasa mpambano ulitokea wapi ? aliwezaje kugoma kujisalimisha ?
2. Walisema alitumia mwanamke kama ngao yake, hapakutajwa popote kuwa walipigana na walinzi wa ngapi, na waliuawa wangapi!?
3. Wamesema hapakuwepo na mitambo yoyote ya mawasilianao wala Internet, ili kukwepa kuwa tracked, hizo CD na Computer ni za nini ?
4. Nimeuliza serikali ya PAKISTAN haina hata RADAR mbovu kama ile ya CHENGE ?
 
Haha hey ndugu.kama kweli sisi tuna akili timamu.tufikirie kwanza hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa ameuawa(ushahidi wa kisomi) sio wa kitoto.pili osama alishagundulika alipo miaka iliopita.na inawezekana alikufa siku nyingi zilizopita.ushahidi huo upo wikileaks. Marekani ameetangaza habari hizi ili raia wasi kumbuke habari iloanza kuenea kuwa obama sio mzaliwa wa marekani bali huwai.yani kuwa amedanganya mambo mengi.
 
Sasa kama hakuwa na silaha, alikataaje kukamatwa? Alikimbia kwa miguu? Wamarekani kiboko.
 
hapo unaona miili misafi??!!!! vere strange........halafu unapozungumzie hizo a AK 47 nk hizo ni za kwenu huku bongo usidhani walitumia hizo bro.....

.................. nimekutajia M 16, ni moja ya silaha wanazotumia, kwa taarifa yako hakuna silaha ya mkononi ambayo ni efficient zaidi ya AK 47 (Alexander Kalashnikov 1947).......... na zungumza kitu ninacho kijua, mtu atapigwaje kwa close range akawa clean hivyo ! come again
 
....................... una uhakika na hilo, maana QURAN inasema wanasoma kitabu kimoja lakini hawaelewani ! ulizia vizuri kuhusu YESU na WAYAHUDI !

Wakati mwingine hauhitajiki kuwa msomi wa Decree kuyajuwa mambo haya, wakati Yesu yupo hapa duniani hakukuwapo na kitu kinaitwa dini ya kiislamu, baada ya Yesu kuondoka Miaka mingi baadae tena zaidi ya miaka 700 ndio akaja Muhamad SW na koran. na ukumbuke Mtume Muhamad alikuwa hajui kusoma wala kuandika, kwa hiyo kama hujui kwanza uislamu usidandie kitabu kingine usichokijuwa. ukitaka kuujuwa ukristo soma kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo na usisome ili kwenda kubishana kwenye mihadhara hautaelewa kitu.
 
Kila mtu ana akili isipokuwa tumetofautiana kwenye utaalam na matumizi ya akili.

.................. kwa hiyo siku tukiamua kutumia akili zetu kikamilifu tutawapita WAYAHUDI ! aanha !.............. basi hakuna haja kuwasifia hao mabwana, kumbe tuko nao sawa ! ni uvivu wetu tu wa kutumia akili !
 
............... " nimekuusia DINI ile ile niliyomuusia Ibrahim,kisha Musa na Isaah (Yesu) ndio hiyo hiyo nimekuusia ewe Muhammad !"
kwa taarifa yako ADAM na HAWA walikuwa WAISLAAM na YESU pia ni MUISLAAM (unaju Dini ya YESU?) (KRISTO kiyunani maana yake ni.... MUNGU !)
 

Sikushangai hayo ndio mafundisho ya madrasat, Hata Osama Bin Laden ni mtume wa mwenyezi mungu ambaye alikuwa anaeneza uislamu, na sasa hivi yuko peponi na mabikira 100 anajitafunia tu anavyotaka.
 
Pictures allegedly showing the results of US special forces' assault on Osama bin Laden's hideout in Abbottabad. Reuters, who released all shown here, have said: 'The photos [were] taken by a Pakistani security official who entered the compound after the early morning raid on Monday. The official, who wished to remain anonymous, sold the pictures. Reuters is confident in their authenticity'.

 
Sikushangai hayo ndio mafundisho ya madrasat, Hata Osama Bin Laden ni mtume wa mwenyezi mungu ambaye alikuwa anaeneza uislamu, na sasa hivi yuko peponi na mabikira 100 anajitafunia tu anavyotaka.

............... kwani mnakawia kuchemka ! wapi imeandikwa UKRISTO ndio DINI ? YESU alikua DINI gani ? ................... hapo sasa ! sana sana utaleta kejeli tu, maana kazi yenu kudakia nyimbo tu ! ............ MUNGU anazaliwaje na MTU ?!:happy:
 
It was so unecessary sababu waungwana hawakuwa na silaha

naungana na wewe lakini dubwana kama Osama sio la kuliamini inaweza likawa lilikuwa limejifunga mabomu muda wote....sasa hofu ndo hapo kwamba ukichelewa dakika moja tu hatari kwake hatari kwenu....
 

................. AK 47, lazima ifumue upande wa pili kwa sababu ya 4bore lines !:happy:
 
............... kwani mnakawia kuchemka ! wapi imeandikwa UKRISTO ndio DINI ? YESU alikua DINI gani ? ................... hapo sasa ! sana sana utaleta kejeli tu, maana kazi yenu kudakia nyimbo tu ! ............ MUNGU anazaliwaje na MTU ?!:happy:

Dini ya kiislamu imeletwa na Marehemu mtume Muhamad, hapo Masia alikuwa ameshaondoka duniani zaidi ya miaka 700 nyuma, so idon,t see any connection between masia to be muslim, this language can be only understood to the madrasat attendant.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…