Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
😳😳🤔🤔Kwanini mihan iwe nzuri kuliko oryx wakati wote wanajazia kituo kimoja?
😳😳🤔🤔Kwanini mihan iwe nzuri kuliko oryx wakati wote wanajazia kituo kimoja?

We P Mayala inabidi ulipie tangazo hilo ili jf iweze kuendeleaNakushauri nunua Mihan Gas kwanza kwa sababu ina valvu salama, pili ni cheap kuliko Orix na taru inajazwa vizuri zaidi kuliko Orix
P