Orodha ya watu waliowahi kwenda Mbinguni na kisha wakurudi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,914
Ndugu zangu Wakristo wamepata neema ya kipekee ambayo ndugu zangu Waislam hawajawahi kuipata. Neema hiyo si nyingine ila ni ile ya watu kwenda mbinguni kisha kurudi.

Sijawahi kusikia Sheikh, Imam wala Maalim akijinadi kuwa ameshawahi kwenda mbinguni na kisha kurudi tena.

Haya mambo ya watu kwenda mbinguni tulianza kusikia kwa wahubiri wa Ulaya na Marekani, kisha baadae yake tukaanza kusikia kwa watumishi kutoka nchini Nigeria na sasa ni hapa kwetu.

Mwamposa sijawahi kumsikia akisema ameshawahi kufika mbinguni, ila nimemsikia Zumaridi.

Zumaridi alipotoka tu jela, first destination yake ikawa ni mbinguni. Kule alifanya mambo mengi makubwa ikiwa ni pamoja na kukutana na Mtakatifu Petro.

Zumaridi anasimulia kwamba Mtakatifu Petro alipagawa sana na uzuri wa Zumaridi. Hadi Peter akataka kumuoa Zumaridi kitu ambacho ni kinyume kabisa na utamaduni wa mbinguni. Biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa, wote mnavishwa miili ya malaika.

Mtu mwingine aliyeenda mbinguni ni Mtanzania mwenzetu, Mwalimu Mwakasege. Huyu alipofika mbinguni alikutana na Yesu na nabii Musa.

Moses Kulola baba wa Uinjilisti na uamsho wa kiroho Tanzania naye poa alipata wasaa wa kutembelea mbinguni kisha akarudi tena hapa duniani.

Prophet Malisa ni mtu mwingine ambaye amekuwa na ziara za zaidi ya mara moja huko kwenye makao aliyotuandalia baba.

Deoniz Mtalemwa ni mtu mwingine aliyewahi kuionja pepo na raha zake kisha akarudi duniani.

Hawa ni Watanzania wachache tu. Wengine waliowahi kuipata neema hii ni wenzetu kutoka Malawi, Prophet Bushiri. Huyu ana uzoefu na milango ya mbinguni.

Jamani kila autafutaye ufalme wa mbinguni hakika atauona
 
Mbinguni ni wapi na unaweza kuthibitisha kupo?
 
Yupo adam Aston Mbaya keshaenda mbinguni na kuzimu mara 360.
Kamkuta Iddi amini, mobutu, gadafi, ossama, HITLER, Franco, Martin Luther, Mapapa, aliyewahi kuwa rais wa Tanzania kuzimu.
Duh, na vipi kuhusu yule aliyetuaga kwamba anaenda kuongoza malaika? Je yuko kweli huko akifanya kazi kama Kiranja Mkuu, au naye ni kuni tu kama wauaji wengine?
 
Na tunaishukuru BAKITA,,,Baraza la Kiswahili Tanzania kwa kueneza Kiswahili hadi Mbinguni huko,,,maana kila msimuliaji aliekwenda mbinguni mahojiano yao yalikuwa ya kiswahili na watakatifu,,,Zumaridi yeye sijui alipendelewa vipi au labda kati ya walioenda yeye pekee ndio wa jinsia "KE""hadi akaenda mbingu wanachonga ngenga hadi kwa kilugha tena lugha ya kabila lao """Kisukuma"",,Na ndio maana Marehemu Magufuli alishasema ipo siku ataenda huko na labda Mungu anaweza Mchagua kua kiongozi wa malaika!!!
 
Ndugu zangu Wakristo wamepata neema ya kipekee ambayo ndugu zangu Waislam hawajawahi kuipata. Neema hiyo si nyingine ila ni ile ya watu kwenda mbinguni kisha kurudi.

Sijawahi kusikia Sheikh, Imam wala Maalim akijinadi kuwa ameshawahi kwenda mbinguni na kisha kurudi tena.

Haya mambo ya watu kwenda mbinguni tulianza kusikia kwa wahubiri wa Ulaya na Marekani, kisha baadae yake tukaanza kusikia kwa watumishi kutoka nchini Nigeria na sasa ni hapa kwetu.

Mwamposa sijawahi kumsikia akisema ameshawahi kufika mbinguni, ila nimemsikia Zumaridi.

Zumaridi alipotoka tu jela, first destination yake ikawa ni mbinguni. Kule alifanya mambo mengi makubwa ikiwa ni pamoja na kukutana na Mtakatifu Petro.

Zumaridi anasimulia kwamba Mtakatifu Petro alipagawa sana na uzuri wa Zumaridi. Hadi Peter akataka kumuoa Zumaridi kitu ambacho ni kinyume kabisa na utamaduni wa mbinguni. Biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa, wote mnavishwa miili ya malaika.

Mtu mwingine aliyeenda mbinguni ni Mtanzania mwenzetu, Mwalimu Mwakasege. Huyu alipofika mbinguni alikutana na Yesu na nabii Musa.

Moses Kulola baba wa Uinjilisti na uamsho wa kiroho Tanzania naye poa alipata wasaa wa kutembelea mbinguni kisha akarudi tena hapa duniani.

Prophet Malisa ni mtu mwingine ambaye amekuwa na ziara za zaidi ya mara moja huko kwenye makao aliyotuandalia baba.

Deoniz Mtalemwa ni mtu mwingine aliyewahi kuionja pepo na raha zake kisha akarudi duniani.

Hawa ni Watanzania wachache tu. Wengine waliowahi kuipata neema hii ni wenzetu kutoka Malawi, Prophet Bushiri. Huyu ana uzoefu na milango ya mbinguni.

Jamani kila autafutaye ufalme wa mbinguni hakika atauona
😂😂😂Mwaisa
 
Back
Top Bottom