Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

Hizo namba ni kiasi cha fedha wanachodaiwa kwa wizi huo au ni units za umeme walizoiba!? Kama Wema anaiba umeme zaidi ya Royal Oven Bakery Ina maana atakuwa ana mitambo ya kutengenezea Mapochi na mawivingi nyumbani kwake!

Mkwanja huo mkuu hapo maji bado m9
 
Orodha ya baadhi ya wezi wa umeme wa TANESCO yawekwa wazi akiwemo Super Model wetu, Wema Sepetu..

attachment.php

Wote hao waliibaje na wakati wapo ma-Inspector wa shirika?walikuwa wanafanya nini?
 
acheni Ukiona wa kutafuta kiki na huyo Malaya Wenu. hakuna kitu kama hicho
 
Wote hao waliibaje na wakati wapo ma-Inspector wa shirika?walikuwa wanafanya nini?

mbona mnabebwa na upuuzi kirahisi.kwani hio Barua inatoka wapi inaenda wapi kwa ajili ya nini
 
Mkuu,
Kwa nini unapenda kuingiza SIASA kwenye mambo ambayo hayataki SIASA!? Tumia busara kidogo kaka.
Kwani siyo kweli kwamba Magufuli ataanzisha Mahakama ya Majizi na Mafisadi? Na siyo kweli kwamba Wema alikuwa kwenye timu nimestuka?
 
Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.

Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.


Chanzo :Bongomovies.com
 
Back
Top Bottom