Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

.....vipi? ..tumejipangaaa.... Mwaka huu wataisoma!!!!... cc.... mbele kwa.....
 
Namkumbuka Wema kweye ile timu yao ya "nimestuka" nakajiuliza amestuka au amestushwa, maana ndiyo kwanza alikuwa ametoka kushuhudia penzi la Zari na Diamond likichanua. "Nitaanzisha mahakama ya majizi na mafisadi" John Pombe Magufuli 2015

Yaani story zako sasaivi za nyuma, yaliyo pitwa Na wakat!!!
 
Hiyo kampuni ya Viettel si ya juzi tu leo inaiba umeme?!!
 
Hizo namba ni kiasi cha fedha wanachodaiwa kwa wizi huo au ni units za umeme walizoiba!? Kama Wema anaiba umeme zaidi ya Royal Oven Bakery Ina maana atakuwa ana mitambo ya kutengenezea Mapochi na mawivingi nyumbani kwake!
wema aicondition hadi chooni ndipo watu wakashtuka, yani full mzuka mama wa kukonect chuma.
 
JPM akifanya mchujo vizuri atabaki na watu 10 kama sio mmoja au 0,watu wengi hujificha kwenye publicity kwa kuficha uozo wao na si kuwa mfano wakuigwa kwa Tanzania yetu,Kweli Mungu atutangulie kupunguza kufisidi huku,pole Wena/Diwani kwa kuwekwa wazi Tena wangetoa link ya siri wangewapata watu muhimu wengi sana!
 
Huyu wema ni mwizi mkubwa Ukitataka kujua hilo we kuwa nazo alafu uwe na jina atakavyo jipendekeza kwa ajili ya kukuibia
 
Wote wanaiba au wengine ni wadaiwa?

Big difference kati ya wizi na deni
 
Watanzania watu wa ajabu kidogo

Hizo za Wema si pesa, wala vijisenti. Hizo ni chenji tu baada ya breakfast

Mumesahau ya Stanbic, mtu anapata milioni 40 tu, wengine Bilioni na kuita za mlenda kama si kisamvu!

Jamani fungueni macho, msitupiwe mifupa mkakimbilia tu
 
Lakini Nguruvi3, Tanesco haihusiki na Stanbic. Hii ni taarifa ya Tanesco na wizi wa umeme, Stanbic iko chini ya mamlaka nyingine.
 
Hivi hawa ndiyo wezi wa umeme Tanzania nzima Tanesco msitutanie.
 
Watanzania watu wa ajabu kidogo

Hizo za Wema si pesa, wala vijisenti. Hizo ni chenji tu baada ya breakfast

Mumesahau ya Stanbic, mtu anapata milioni 40 tu, wengine Bilioni na kuita za mlenda kama si kisamvu!

Jamani fungueni macho, msitupiwe mifupa mkakimbilia tu
Watu wanaongelea ishu ya tanesco na ripoti yao, wewe unaleta habari za stanbic...leta uzi kuhusu stanbic watu wajadili..
 
Duu jf kiboko aisee, nilimsikia mramba akisoma majina yao kwa channel 10,tv nyingine hazijaonyesha
 
Hawa wakatiwe mazima UMEME labda waungwe na Gridi ya Burundi
 
Wema si kibaka tu yule?? Umeme wote huo, alifunguaga studio?
 
Back
Top Bottom