Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

Zakayomfupi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2024
Posts
1,040
Reaction score
1,000
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
9. Valentine Nouma
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
 
Mnapiga midomo sana
 
Watu hawapendi kusikia huu ukweli.Wanajifariji kwamba watu wamechoka.Hakuna logic kabisa
Hakika Mkuu, sisi tunawasaidia mpira sio uadui. Simba hawana timu waache janja janja wasajili wachezaji wazuri
 
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Basi subiri wacheze kwanza mechi ya June 15 then ndio watupiwe virago
 
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Umemaanisha timu za ligi kuu au Simba pekee?
 
Kile kikosi cha Yanga bora kuliko vyote kilichofika fainali shirikisho kiliondoka na kitita cha kiasi gani tulinganishe na hichi kikosi kibovu cha simba msimu huu.
 
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Yanga bwana mnasema wachezaji wa simba wazee na wabovu ila wakiachwa mnawachukua mfano:–
Baleke
Chama
Augustine okra
Mkude
Mwenda

Hao ni wa hivi karibuni badala mpambane kujenga team yenu mbovu ambayo kila siku kimataifa inaishia makundi mnahangaika na simba.
 
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Ivi ateba ana magoli mangapi ya penati. Hahaha nakumbuka kisa cha Ntibazonkiza na mayele
 
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
9. Valentine Nouma
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Mbona wachezaji wote ni wa Simba! Kulikoni!! Halafu ni wiki chache tu zilizopita, wachezaji hawa hawa waliifikisha simba fainali ya kombe la shirikisho!
 
Leo umejua kwanini wote ni wa Simba
Kwa hali hii sasa kila msimu simba itakuwa inasajili wachezaji wapya. Mimi nafikiri usajili ungefanyika kimkakati zaidi, na siyo kimhemko na kwa kushinda na Yanga.
 
Back
Top Bottom