Orodha ya wabunge wa CCM waliomba kuteuliwa kugombea Unaibu Spika

Dada anaongoza bara, kaka anaongoza visiwani na kaka mdogo mhimili wa kuwapangia kaka na dada matumizi!

Tumshukuru mweñye uzao wake kwani hakuzaa watoto wa hovyo!

Huenda mbeleni tukampata mwingine wa kuongoza ule mhimili uliobaki ili agano litimie! Nchi ya kifalme hii!
Halafu hawana aibu😨😨😨 na wanaona ni sawa tu.
 
Mbowe sio Gaidi
Naibu_Spika_wa_MICHONGO.jpg
 
Kwema wanabodi? Heri ya mwisho wa wiki kwenu nyote.

Orodha ya wanachama 11 waliojitokeza kuchukua na kurejesha fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Naibu Spika ni:
1. Joseph Tadayo ANANIA – Mwanga
2. Abdullah Ali MWINYI – MAHONDA
3. David Mwakiposa KIHENZILE – Mufundi Kusini
4. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO – Muleba Kusini
5. Dkt. Hamis KIGWANGALA – Nzega Vijijini
6. Musa Azzan ZUNGU - Ilala
7. Samwel Hhayuma XADAY – Hanang’
8. Abubakar Damian ASENGA - Kilombero
9. Stanslaus NYONGO – Maswa Mashariki
10. Timotheo Paul MNZAVA – Korogwe Vijijini
11. Kilumbe Shaban NG’ENDA – Kigoma Mjini

Zoezi la utoaji wa fomu za kugombea nafasi ya Naibu Spika limefanyika kwa siku 3 ndani ya CCM; tarehe 4 - 6 Februari 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni katika ofisi 03 za Chama; Ofisi Ndogo Dar Es Salaam, Afisi Kuu Zanzibar na Ofisi ya Makao Makuu Dodoma.
Kati ya 2,6&10 mmoja wao naibu spika skate.
 
Huyo Rais wa Jamuhuri ya muungano nae ni mtoto wa mzee Mwinyi (lakini wa nje ya ndoa),ila itabaki kuwa siri hadi dunia inaisha!!!
 
Dada anaongoza bara, kaka anaongoza visiwani na kaka mdogo mhimili wa kuwapangia kaka na dada matumizi!

Tumshukuru mweñye uzao wake kwani hakuzaa watoto wa hovyo!

Huenda mbeleni tukampata mwingine wa kuongoza ule mhimili uliobaki ili agano litimie! Nchi ya kifalme hii!
kweli hii coment yako ni ya kutunza
 
Sasa huyu wa Mahonda si akagombee Zanzibar kama ndugu yake? Nchi hii jamani kama vile haina mwenyewe?
 
Kwema wanabodi? Heri ya mwisho wa wiki kwenu nyote. Orodha ya wanachama 11 waliojitokeza kuchukua na kurejesha fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Naibu Spika ni: 1. Joseph Tadayo ANANIA – Mwanga 2. Abdullah Ali MWINYI – MAHONDA 3. David Mwakiposa KIHENZILE – Mufundi Kusini 4. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO – Muleba Kusini 5. Dkt. Hamis KIGWANGALA – Nzega Vijijini 6. Musa Azzan ZUNGU - Ilala 7. Samwel Hhayuma XADAY – Hanang’ 8. Abubakar Damian ASENGA - Kilombero 9. Stanslaus NYONGO – Maswa Mashariki 10. Timotheo Paul MNZAVA – Korogwe Vijijini 11. Kilumbe Shaban NG’ENDA – Kigoma Mjini Zoezi la utoaji wa fomu za kugombea nafasi ya Naibu Spika limefanyika kwa siku 3 ndani ya CCM; tarehe 4 - 6 Februari 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni katika ofisi 03 za Chama; Ofisi Ndogo Dar Es Salaam, Afisi Kuu Zanzibar na Ofisi ya Makao Makuu Dodoma.
Hii nafasi ilikuwa ya Mh. George Simbachawene, kama asingekuwa waziri. Kwa sasa uwezekano wa Zugu kuchukua nafasi hii ni mkubwa mno; na kama ningekuwa Mbunge, kura yangu ingeenda kwa Zungu. Namuombea Zungu Mungu ampe hii nafasi
Nampongeza Spika Dr Tulia, naomba atupeleke vizuri huko mbele kuna uwezekano mkubwa akaja kuwa very competitive kwenye nafasi ya Urais
 
Back
Top Bottom