Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

Njelekela

Member
Oct 10, 2011
5
1
Katika orodha ya Vyuo Vikuu Bora 400 Duniani (THE TOP 400 World Universities 2011/12)iliyotolewa hivi karibuni na The Times Higher Education (THE) World Universities Ranking HAKUNA HATA CHUO KIMOJA TOKA AFRIKA MASHARIKI...! Nini maana yake? Nini tatizo? Nini kifanyike?

Vigezo 13 vinatumika vikiwemo research, teaching, citations, etc.
Soma hapa: timeshighereducation.co.uk/world-university-rankings/2011-2012/africa.html
 

Njelekela

Member
Oct 10, 2011
5
1
Pengine kweli ni 'subjective' na sio fair kama inavyosemwa na wasomi wengi hasa wa nchi zilizo katika nafasi za chini. Lakini, ngoja niorodheshe vigezo vilivyotumika kupata orodha hii na tuone kipi si sahihi kutumika katika kupanga, HASA VYUO VYETU. Nitaviweka kwa lugha waliypitumia wao na asilimia zake kwenye mabano.

1. Teaching: The learning environment (30%)

2. Research: Volume, Income and Reputation (30%)

3. Citations: Research influence (30%)

4. Industry Income: Innovation (2.5%)

5. International Outlook: Staff, Students and Research (7.5%)

Ni kigezo kipi ambacho wanazuoni wa Kitanzania wasemacho sio sahihi kuvi-rank vyuo vyetu? Tuache kujitetea na tuliangalie hili katika ukweli wake na kulitafutia ufumbuzi.
 

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
80
Ukweli ni huo,vyuo vyetu elimu ni duni, hii inachangiwa na vitu vingi likiwemo swala la masilahi. Kwa sababu ya masilahi duni wanayopata wahadhiri wa vyuo vikuu Afrika,Muda mwingi wanatumia katika kufikiria masilahi yao tu badala ya kuboresha taaluma kwa ujumla.Serikali za kiafrika zinashauriwa kuwekeza zaidi katika hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom