Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,171
- Thread starter
- #21
Utajiri wake alikuwa anauza kuku sasa weeendelea kushangaa😁Ningeshangaa sana kama Ruto (Kasongo) asingekuwepo kwenye list hiyo. 😁
Utajiri wake alikuwa anauza kuku sasa weeendelea kushangaa😁Ningeshangaa sana kama Ruto (Kasongo) asingekuwepo kwenye list hiyo. 😁
DuhUSD 5M ndiyo tajiri? Hakuna kiongozi wa Africa tena level za prezdar awe na mpunga chini ya B(USD).
Kwani buku7 hazijasoma hadi sasa?Mkuu futa hii usije kufanya Sir God aone amenibless utajiri wakati mm sina kitu, hapa yenyewe sijala tangu mchana
Zinagawiwa wap niendeKwani buku7 hazijasoma hadi sasa?