Ziko nyingi ila kikubwa inategemea na position husika, na uzoefu wako.Wakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
CCMWakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
Uhakika, sio Kila soda ya kopo ni ya kunywaMshahara si taasisi bali ni wewe kujiuza vizuri ,unaweza ukaajiriwa TRA au BOT ukawa unakula "MANARA"(LAKI 7).