Reprofiling Afro Presidential Age

Reprofiling Afro Presidential Age

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,619
The 70s plus must go:-

1. Paul Biya 90

2. Yoweri Museveni 78

3. Bola Tinubu 70

4. Cyril Ramaphosa 70

5. Emmerson Mnangagwa 80

6. Denis Sassou Nguesso 79

7. Hage Geingob 81

8. Salva Kiir Mayardit 71

9. Ismail Omar Guelle 75

10. Isaias Afwerki 77

11. Sahle-Work Zewde 73

12. Tom Thabane 83

13. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo 80

14. Abdelmadjid Tebboune 78

15. Brahim Ghali 73

The presidential age revolution in Africa starts now than anon [emoji91][emoji91][emoji91]

The revolution must not stop until the final 70 is deposed.

Filosofia ya Rorya.

Screenshot_20230317-112547.jpg
 
Paul Biya anaweza ondoka zake pale Cameroon akaishi Switzerland kwenye hotel ya kimataifa, crew yake wakapanga floor nzima wakakaa wiki kadhaa. Sasa jichanganye huko nyumbani utake atoke, sio yeye atakayejua hata kama upo ila kuna machawa waliopitiliza ambao wanatumia advantage ya uzee wake kufanya wanavyotaka. Yeye alishamalizana na upinzani amebaki na vilaza ngazi za juu ambayo ukiachana na kusifia na kujipendekeza hawana la ziada.

Tinubu kwenye kampeni kuna muda alisogezewa microphone akaambiwa test the mic yeye akaelewa ni taste the mic, akailamba. Sasa akili kama hizo ziongoze nchi utegemee nini.

Ramaphosa pale South Africa anaishiishi tu utadhani alilazimishwa kuwa Rais. Emmerson kwa Zimbabwe amekosa maajabu, na huwezi tegemea matokeo tofauti kutoka kwa inner circle ya Mugabe. Kilichompa Urais si uwezo bali kuwahi kufanya kazi chini ya Mugabe, hakukuwepo option nyingine ukizingatia upinzani unakandamizwa mno.
 
Duh!

Kweli ili Afrika ipone wakati fulani unawaza kwamba uwashushie bomu viongozi wote wanapokuwa kwenye AU General Assembly ili Afrika ianze upya kabisa kwa mfumo mpya kabisa.

MUNGU alivyochoka tawala za kishetani aliruhusu Nabii Eliya awachinje Wafalme (Marais) wote 450 wa Baali ili zama mpya zichomoze.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Paul Biya anaweza ondoka zake pale Cameroon akaishi Switzerland kwenye hotel ya kimataifa, crew yake wakapanga floor nzima wakakaa wiki kadhaa. Sasa jichanganye huko nyumbani utake atoke, sio yeye atakayejua hata kama upo ila kuna machawa waliopitiliza ambao wanatumia advantage ya uzee wake kufanya wanavyotaka. Yeye alishamalizana na upinzani amebaki na vilaza ngazi za juu ambayo ukiachana na kusifia na kujipendekeza hawana la ziada.

Tinubu kwenye kampeni kuna muda alisogezewa microphone akaambiwa test the mic yeye akaelewa ni taste the mic, akailamba. Sasa akili kama hizo ziongoze nchi utegemee nini.

Ramaphosa pale South Africa anaishiishi tu utadhani alilazimishwa kuwa Rais. Emmerson kwa Zimbabwe amekosa maajabu, na huwezi tegemea matokeo tofauti kutoka kwa inner circle ya Mugabe. Kilichompa Urais si uwezo bali kuwahi kufanya kazi chini ya Mugabe, hakukuwepo option nyingine ukizingatia upinzani unakandamizwa mno.
Akailamba mic maanina zake . Si aachie vijana tuu , hawa ndio wale maraisi wanajinyea na kujikojolea wanavaa pampers .
 
Akailamba mic maanina zake . Si aachie vijana tuu , hawa ndio wale maraisi wanajinyea na kujikojolea wanavaa pampers .
 
The 70s plus must go:-

1. Paul Biya 90

2. Yoweri Museveni 78

3. Bola Tinubu 70

4. Cyril Ramaphosa 70

5. Emmerson Mnangagwa 80

6. Denis Sassou Nguesso 79

7. Hage Geingob 81

8. Salva Kiir Mayardit 71

9. Ismail Omar Guelle 75

10. Isaias Afwerki 77

11. Sahle-Work Zewde 73

12. Tom Thabane 83

13. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo 80

14. Abdelmadjid Tebboune 78

15. Brahim Ghali 73

The presidential age revolution in Africa starts now than anon [emoji91][emoji91][emoji91]

The revolution must not stop until the final 70 is deposed.

Filosofia ya Rorya.

View attachment 2555023
Kati ya hao yupi ana kashfa ya kulibwanda hadharan

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
William Pitt The Younger, alifanya makubwa nchini uingereza akiwa waziri mkuu wa miaka 24.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom