Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

Majimbo karibu yote wamechukua CHADEMA! NLD, NCCR na CUF wataambulia vijimbo kiduchu tu

Kuna majimbo 62 hayajapangiwa chama, huenda ccm wakayapata kiulaini au yanasubiri waliokatwa wajivue gamba ndio wapangiwe. Mf. Jimbo la Bukoba (V) kaachiwa Karamagi?
 
Wakurya waongozwe na mwanamke? Over my dead body.

bunda ina makabila mengi saaana nafikiri kuliko wilaya nyingi,ukitajiwa utapigwa butwaa,mkoa wa mara maana yake si wakurya,makabila yaliyopo mara yakiamua kupiga kura wakurya wanaisoma namba
 
Inakera sana kuandika CDM kwanini msiandike CHADEMA...official yoyote msifupishe CC
Molemo
Chademakwanza
Tumaini Makene
Hata Haikeri...! ni Sawa tu na Kuita JK = Julius Kambarage au JK= Jakaya Mrisho...
Vifupisho navyo vina utamu wake... Upungufu wa Kinga Mwilini huitwa Ukimwi.
Jamii Forums Huitwa JF

NA wewe unajiita 2hery tukuite twohery ili usijikere wewe mwenyewe
 
Kumbe kura za maoni hazina garantii hata ukishinda kwa 90%,kama pale muleba kaskazini, kamanda wetu Kakatwa.
 
Ila huyo mzee ni so strategic, lazima cdm wajipange kweli. Namfahamu, nafahamu aliyoyafanya 2010!
 
Wakurya waongozwe na mwanamke? Over my dead body.

Tatigha urwambyai mhosani...
Tushatoka huko... Mkurya ni mru kama watu wengine na mwanamke ni mtu kama watu wengine..
Abhaigakoro mbho bhakinya imighi...
"Sorry kwa kutumia Mother Language"
Ushawahi kusikia Father tongue?!
 
Wakurya waongozwe na mwanamke? Over my dead body.

Tatigha urwambyai mhosani...
Tushatoka huko... Mkurya ni mtu kama watu wengine na mwanamke ni mtu kama watu wengine..
Abhaigakoro mbho bhagukinya imighi...
"Sorry kwa kutumia Mother Language"
Ushawahi kusikia Father tongue?!
 
Jimbo la Chalinze tunarudia makosa kwa mara ya pili, Huyo Masai wa nini?

ngoja nikupe taarifa ya ubunge wa chalinze,wapiga kura waliojitokeza kumchagua mtoto wa kikwete ni asilimia 24 ya wapiga kura wote waliotakiwa kupiga kura chalinze,na katika asilimia 24 rizone alipata asilimia 80 halafu wanadai ni ushindi wa kishindo,maesabu gani hayo?
 
Sio tungu kamanda ni kahema ambae hakuteuliwa ndio wanamtaka wanakishapu kua mwelewa basi

Nilighafilika Mkuu baada ya kuona jina la Tungu Mpendazoe, kama huyo ndiye mgombea wa CHADEMA, hilo jimbo litaendelea kuwa la CCM, naunga mkono hoja 100 kwa 100.
 
Hizi ndo siasa uchwara ambazo CCM wakizitumia kuvuruga umoja wa wapinzani, nadhana uchaguzi wa mwaka huu hilo limeshitukiwa na kuwekwa sawa, muhimu kuliko yote hayo CCM iondoke madarakani, mengine tutatambuwana mbele huko
Mambo ya ruzuku mmeishayaweka sawa? Ngoja uchaguzi uishe muone jinsi watu watakavyokuwa wanadai pesa zao!
 
Majimbo karibu yote wamechukua CHADEMA! NLD, NCCR na CUF wataambulia vijimbo kiduchu tu
Mi nadhani tuwe tunaongea kwa kutafakari,

1:hivi kwa huku bara ni chama gani kina wabunge wengi?,
2: Je katika hayo majimbo yaliyoorodheshwa ni jimbo lipi lilikuwa chini ya Chama kingine cha upinzani zaidi ya Chadema?,
3: katika hayo majimbo hata kama yalikuwa chini ya CCM, chadema kiliperfom vipi kulinganisha na vyama vingine vya upinzani katika uchaguzi uliopita?
 
Leo mchana nikiwa nimejipumzisha kitini nikaona kwenye ndoto watu wakilia kwa uchungu sana,"uwiii, uwiii, ejooo, ejooo", nilipogeuka nikamwona Atupele Mwakibete akilia kwa uchungu mkubwa.Niliposhtuka loo kumbe nilikuwa nimepitiwa na usingizi. Hongera sana kamanda Bonny Mwabukusi kuteuliwa na chama kupeperusha bendera jimbo la Busokelo. Tutahakikisha ccm inazikwa kabisa katika jimbo hili walilokuwa wanaliita jimbo la Mwandosya.
 
Back
Top Bottom