Elections 2010 Orodha ya Majina ya Wabunge Vijana 2010

Kuna taarifa kuwa Zitto Kabwe hatagombea 2010, vipi amebadili msimamo?
 
Mimi pia nina mkakati wa kugombea jimbo moja kule Iringa, si kijana by Definition lakini ni damu mpya kabisa yenye mwelekeo Chanya.

Saidia MADELA WA- MADILU ashinde ubunge huko Lilinga( jimbo limehifadhiwa) 2010.

Hahaha mkulu sasa tuku saidieje? Jina hatuna uhakika ndilo utakalo tumia kuombea kura. Jimbo kwa sasa liko classified. Sasa tuanzie kukusaidiaje? Hapa nataka kukufanyia fundraiser lakini sijui pesa zita tumwa kwa nani na kwa ajili ya jimbo gani. Au ni utani tu wa kuchangamsha jamvi mkuu?
 
Back
Top Bottom