Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

Daktari mwenyewe tangu ahitimu na kupewa ofisi hajawahi kushughulisha na kusoma magonjwa wanatibu kwa uzoefu. Ukipata Dr anayejisomea na kuchimbua vizuri atajaliwa na wateja mpaka akome hata kama yupo gvt jamii nzima itamjua.

Tatizo la kutoendeleza udadis kwa Tanzania ninkubwa sana kwa kada zote.

Nichagueni niwe Rais lazima Niwekeze sana kwenye research na technology.
Hili ndio tatizo kubwa, kada ya afya kwa muda mrefu sana imekuwa na wataalamu wenye mawazo dormant juu ya magonjwa na mfumo mzima wa mwili.

Mtu kahitimu mafunzo 2010 hadi leo hajawahi 2024 hajawahi kuchimbua kuhusu mabadiliko yoyote ya kimatibabu, hivyo ana hudumia kutokana na uzoefu wake wa miaka 10-20 ya nyuma.

Wataalamu si wa kulaumiwa sana katika hili, shida ni mifumo yetu ya kuwaandaa hao wataalamu. Unakuta mafunzo na elimu wanayopewa ni ile ya miaka ya 70's hadi 90's kwa huko ulaya.
 
Umeongea point kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom