Habari huwa nategemea JF. Magazeti ni kuangalia tuu kama kuna Tenda inayohusu shughuli yanguOrodha ya magazeti na majarida 112 yaliyofanikisha kupata leseni imetolewa.
Kulingana na taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, magazeti hayo hayataruhusiwa kuchapishwa tena mpaka watapokamilisha utaratibu wa maombi ya leseni zao na amewakumbusha ni kosa la jinai kuchapisha bila ya kuwa na leseni.
Hiyo miezi 6 watafanya kazi bila leseni?Mwananchi wamepewa miezi 6 kurekebisha wanahisa wake kulingana na sheria ya huduma za habari 2016
Ukishakuwa kiongozi usiyejiamini, mwongo, mwonezi na mkurupukaji.....matokeo yake ndio haya."Nchi ya kuviziana" KP
Angalia kwenye orodha namba 79 hadi 81 ni magazeti mapya ya National Media group ,nadhani wanabadili majina.kuna Taifa leo ,Sunday nation na Saturday edition