Orodha ya magazeti na machapisho yaliyopatiwa leseni yatolewa, yote ambayo hayajakamilisha leseni marufuku kuchapishwa

Orodha ya magazeti na majarida 112 yaliyofanikisha kupata leseni imetolewa.

Kulingana na taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, magazeti hayo hayataruhusiwa kuchapishwa tena mpaka watapokamilisha utaratibu wa maombi ya leseni zao na amewakumbusha ni kosa la jinai kuchapisha bila ya kuwa na leseni.
Dah! kwa hiyo magazeti yaliyomkosoa mtukufu malaika wetu mkuu mwenye akili kuliko yeyote ndiyo kwaheri
 
Fungia magazeti yote yanayoandika fyokofyoko na kwenda kwenye mrengo wa hovyo hovyo. Nyima usajili ili wakajifunze upya maadili ya uandishi wa habari. Safi sana nchi yangu, safi sana Rais wangu.
 
JPM ni mtu wa hovyo na coward!!! anairudisha nchi gizani kwa maamuzi ya kipuuzi kila kukicha, kama anafanya vitu vinavyokubalika anahofia nini kukosolewa? what a moron
Kapewa maelekezo na shemeji
 
mwaka jana nilitoa maoni yangu kwamba,wakimalizana na wana siasa watatugeukia sisi tunaotoa maoni yetu kwenye hii mitandao baadhi ya watu wakanibeza
Mkuu ukiwa unatoa maoni kwa mihemuko na kukosa staha watakupata tu. Sheria ya mitandaoni ipo na watadeal na wewee, hauna uhuru kiasi hicho so watch out.
 
Sijawahi kusoma magazeti maana, hayana formula za habari zao wanazoziandika.

Any way, pole yao maana, kampuni zilizowapatia tenda za matangazo zitawahenyesha kwa kuwadai hao ambao magazeti hayatarudi tena sokoni kwa kukosa lesseni.
 
Fungia magazeti yote yanayoandika fyokofyoko na kwenda kwenye mrengo wa hovyo hovyo. Nyima usajili ili wakajifunze upya maadili ya uandishi wa habari. Safi sana nchi yangu, safi sana Rais wangu.
We mbwiga kweli! kwa hiyo gazeti lenye maadili ni lile la kufungia vitumbua linalotoka lumumba?
 
Hii ni awamu ya kwanza mwakani wakati wa ku renew wanamalizia kazi mpaka 2020 patakuwa hakuna kombamwiko.
Huwa kuna swali huwa nauliza sipati jibu,
Hivi huyu jamaa 2015 kulitokea nini kilichomfanya akose kujiamini namna hii?
Maana akili yake yote imelenga kuua uti wa mgongo wa kupashana habari huru kwa wananchi, nadhani sitakosea nikitabiri mlengwa wa mwisho atakuwa JF.
 
Fungia magazeti yote yanayoandika fyokofyoko na kwenda kwenye mrengo wa hovyo hovyo. Nyima usajili ili wakajifunze upya maadili ya uandishi wa habari. Safi sana nchi yangu, safi sana Rais wangu.
Sasa unapomsifia Rais yeye kumbe ndiye alieyafungia sio? Bora hili umeliweka wazi.
 
JPM ni mtu wa hovyo na coward!!! anairudisha nchi gizani kwa maamuzi ya kipuuzi kila kukicha, kama anafanya vitu vinavyokubalika anahofia nini kukosolewa? what a moron
Moron hovyo coward yourself.
Na bado.
 
Umezaliwa kwenye uchi wa ng'ombe wewe. Nachelea kusema kama ni mama yako ndio kakuzaa basi kakuzalia nyuma. Huwezi kuwa mkosefu wa adabu kiasi hicho. Nanyi mods siwaelewi, nini kuelekeo wa hii JF ambao unajipambanua kama GT? Kweli mnakubali na kunyamaza tu mtu badala ajibu hoja tufaidike na mawazo yake, yeye anatukana? Kwa kweli uzalendo, heshima na adabu havipo tena kwa nyie nyumbu

Mbona na wewe ulichoandika ni matusi matupu au ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
 
Nawaza tu madhara watakayopata waliokuwa wafanyakazi wa magazeti ambayo ayajapitishwa,ghafla watu wamerudi nyumbani,poleni sana wachapishaji,wasambazaji na wauzaji,pole yetu maana kodi kutokana na mauzo ya hayo magazeti atutaipata tena.
 
Ikifika 2020 tutambiwa tuliahidiwa nchi ya viwanda tukampinga ndo mana tumekosa viwanda ebu mpeni nchi mccm mwenzangu yeye ataleta nchi ya ajira ata kama ujasoma
 
Back
Top Bottom