Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,444
- 7,808
Kulingana na taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, magazeti ambayo hayapo kwenye orodha hio hayataruhusiwa kuchapishwa tena mpaka watapokamilisha utaratibu wa maombi ya leseni zao na amewakumbusha ni kosa la jinai kuchapisha bila ya kuwa na leseni.