Orodha ya kambi za jeshi la Marekani duniani

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
Wapendwa wana jf, baada ya kukaa kwenye kambi za jeshi la Marekani nimekuwa na wasiwasi na jinsi walivyo na malengo ya kuitawala dunia kiwazi wazi kabisa.. angalia LIST OF UNITED STATES MILITARY BASES Duniani.

Ni ndefu kumeza najua wazembe wa kusoma watashusha matusi, kifupi nikuwa huyu mwezetu amesambaza jeshi lake dunia nzima na lengo lake hataki kushambulia nchi inayotishia maslahi yake akitoka nyumbani yeye anataka ashambulie akitokea nchi nyingine iliyo karibu na nchi anayoishambulia.

Hizi ni zile ambazo ziko UJERUMANI TU...


HISI ZIKO IRAQ
[h=1]List of United States Army installations in Iraq[/h] The US Armed Forces has many military bases in Iraq:

ISRAEL

The Dimona Radar Facility is an American-operated radar base in the Negev, staffed by 120 US military personnel.

Italy

Japan

[h=1]List of United States Army installations in Kuwait.[/h]
50px-Question_book-new.svg.png

Ambox_content.png

Current US Military bases in Kuwait:[h=1]List of United States Army installations in Kosovo.[/h]

[h=1]List of United States Army installations in South Korea[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia

This is a list of U.S. Army posts in South Korea, although a number have been closed or are in caretaker status:[h=3]United States Marine Corps[/h] Main article: List of United States Marine Corps installations
[h=4][edit] Domestic[/h] [h=4][edit] Overseas[/h] Afghanistan
Germany
Japan
[h=3][edit] United States Navy[/h] Main article: List of United States Navy installations
[h=4][edit] Domestic[/h] [h=4][edit] Overseas[/h] Bahrain
British Indian Ocean Territory
Brazil
Cuba
Spain
Japan
Guam
Italy
Israel
Greece
South Korea
[h=3][edit] United States Air Force[/h] Main article: List of United States Air Force installations
[h=4][edit] Domestic[/h]
United States Air Force (71)
AlabamaMaxwell Air Force BaseMississippiColumbus Air Force Base
AlaskaClear Air Force StationKeesler Air Force Base
Eielson Air Force BaseMissouriWhiteman Air Force Base
Elmendorf Air Force BaseMontanaMalmstrom Air Force Base
ArizonaDavis–Monthan Air Force BaseNebraskaOffutt Air Force Base
Luke Air Force BaseNevadaNellis Air Force Base
ArkansasLittle Rock Air Force BaseNew JerseyMcGuire Air Force Base
CaliforniaBeale Air Force BaseNew MexicoCannon Air Force Base
Edwards Air Force BaseHolloman Air Force Base
Los Angeles Air Force BaseKirtland Air Force Base
March Joint Air Reserve BaseNorth CarolinaPope Air Force Base
McClellan Air Force BaseSeymour Johnson Air Force Base
Travis Air Force BaseNorth DakotaGrand Forks Air Force Base
Vandenberg Air Force BaseMinot Air Force Base
ColoradoBuckley Air Force BaseOhioWright-Patterson Air Force Base
Peterson Air Force BaseOklahomaAltus Air Force Base
Schriever Air Force BaseTinker Air Force Base
United States Air Force AcademyVance Air Force Base
DelawareDover Air Force BaseSouth CarolinaCharleston Air Force Base
Washington, D.C.Bolling Air Force BaseShaw Air Force Base
FloridaEglin Air Force BaseSouth DakotaEllsworth Air Force Base
Hurlburt FieldTennesseeArnold Air Force Base
MacDill Air Force BaseTexasBrooks City-Base
Patrick Air Force BaseDyess Air Force Base
Tyndall Air Force BaseGoodfellow Air Force Base
GeorgiaMoody Air Force BaseLackland Air Force Base
Robins Air Force BaseLaughlin Air Force Base
HawaiiJoint Base Pearl Harbor HickamRandolph Air Force Base
IdahoMountain Home Air Force BaseSheppard Air Force Base
IllinoisScott Air Force BaseUtahHill Air Force Base
IndianaGrissom Joint Air Reserve BaseVirginiaLangley Air Force Base
KansasMcConnell Air Force BaseWashingtonFairchild Air Force Base
LouisianaBarksdale Air Force BaseJBLM McChord Field, Joint Base Lewis-McChord
New Orleans Joint Reserve BaseWyomingFrancis E. Warren Air Force Base
MarylandJoint Base Andrews Naval Air Facility
MassachusettsHanscom Air Force Base
Westover Joint Air Reserve Base
[h=4][edit] Overseas[/h] Afghanistan
Bulgaria Main article: Bulgarian-American Joint Military Facilities

Germany
Greenland
Guam
Italy
Japan
Qatar
Singapore
South Korea
Kyrgyzstan
Netherlands
Portugal
Spain
Turkey
United Kingdom (tenant facilities only)
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,509
62,725
Duh! hapa kwetu nadhani ukiacha kule kigamboni wanaweza wakaweka naval base yao hadi ikulu!
 

sixmund6

Senior Member
Oct 11, 2011
100
2
hivi ni michakato gani mtu unatakiwa ufanye ili kuweza kupata nafasi katika majeshi ya kimarekani??
 

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
hivi ni michakato gani mtu unatakiwa ufanye ili kuweza kupata nafasi katika majeshi ya kimarekani??

Mchakato wa kukuwezesha kuingia jeshini Marekani ni wewe kujitolea kufa maana wasio raia wa Marekani ndo wanapewa Missions za ajabu ajabu na unatakiwa kufanya kazi jeshini Miaka 7 ndipo upewe Uraia na Privileges zingine kama raia ndo utaanza kuzifaidi. Naona Naijeria wako wengi jeshini na siku moja nimeongea na Mnaijeria mmoja akasema kuna mama wa kitanzania ana cheo kikubwa jeshini Marekani, yuko Afghanistan.
 

sixmund6

Senior Member
Oct 11, 2011
100
2
ok! Lakini mimi ndio ninamaliza form six february mwakani, sasa hadi mimi watanipa mission za ajabu ajabu? Na mission zenyewe ni kama zipi hizo?
 

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,522
643
vipi wamarekani wameshindwa kuweka military bases china na north korea? naona cuba wamefanikiwa(guantanamo bay)
 

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
10,226
8,626
Duh, post hii ni ya maana sana. Nimeelimika sana. Haya ndiyo tunayotaka. Siyo kila siku kutuletea mambo ya kijinga ya CHADEMA na 'NGUVU YA UMMA'.
 

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Feb 10, 2008
810
676
mombasa? Diego garcia? Panama? Yemen kuna naval base, saudia? ukraine wana installation ya ballistic missiles.., uingereza wana airbase pia.., phillipines,
 

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
ok! Lakini mimi ndio ninamaliza form six february mwakani, sasa hadi mimi watanipa mission za ajabu ajabu? Na mission zenyewe ni kama zipi hizo?
US ARMY lina vitengo vingi sana, Kuna AIRFORCE, ARMY ambayo ni GROUND FORCE, Kuna MARINES, ISAF amboyo mara nyingi kitengo hiki kinasaidiana na NATO, Kuna DA CIVILIAN kitengo hiki kinajishughulisha zaidi na BASE OPERATION so wakati vitengo vingine vinaenda kupiga hiki kinawawekea mambo sawa kwenye BASE. Kuna na vitengo vingine pia ila naomba niishie hivi. Swali lako sasa....
Kazi za jeshi haziangalii una miaka mingapi so unaweza pangiwa kazi yoyote, mara nyingi watu wanaopata nafasi kwenye jeshi hili ambao sio raia huwa wanapelekwa GROUNDFORCE ( US ARMY) Tafakari mwenyewe kazi zao
 

sixmund6

Senior Member
Oct 11, 2011
100
2
US ARMY lina vitengo vingi sana, Kuna AIRFORCE, ARMY ambayo ni GROUND FORCE, Kuna MARINES, ISAF amboyo mara nyingi kitengo hiki kinasaidiana na NATO, Kuna DA CIVILIAN kitengo hiki kinajishughulisha zaidi na BASE OPERATION so wakati vitengo vingine vinaenda kupiga hiki kinawawekea mambo sawa kwenye BASE. Kuna na vitengo vingine pia ila naomba niishie hivi. Swali lako sasa....
Kazi za jeshi haziangalii una miaka mingapi so unaweza pangiwa kazi yoyote, mara nyingi watu wanaopata nafasi kwenye jeshi hili ambao sio raia huwa wanapelekwa GROUNDFORCE ( US ARMY) Tafakari mwenyewe kazi zao

ground force noma kaka! Mi ninasomea PCM nafikiri watanipa AIRFORCE, Sana ukitaka kuapply ktk jeshi lao inakuaje? Kwani wewe unafanyakazi jeshini?
 

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Hapa Afrika USA military camp ambazo hipo visible ni US CAMP LEMONIER hiko Djibouti na Diego Garcia. Nyingine zinazofanya kazi bila kuwa wazi hapa Afrika ni nyingi ambazo kwa lugha ya Kijeshi na Kijajusi zinaitwa BLACK SITE.
Hizi kila nchi ambayo ina ubalozi wa USA camp hiyo hipo hapa Tz,Uganda,Kenya,DRC,Egypt,Rabat,Angola,etc
USA under its OPEN DOOR POLICY AND MONREO DOCTRINE wants to controll the global na wamefanikiwa kwa percent kubwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom