Orodha ya kambi za jeshi la Marekani duniani

Hapa Afrika USA military camp ambazo hipo visible ni US CAMP LEMONIER hiko Djibouti na Diego Garcia. Nyingine zinazofanya kazi bila kuwa wazi hapa Afrika ni nyingi ambazo kwa lugha ya Kijeshi na Kijajusi zinaitwa BLACK SITE.
Hizi kila nchi ambayo ina ubalozi wa USA camp hiyo hipo hapa Tz,Uganda,Kenya,DRC,Egypt,Rabat,Angola,etc
USA under its OPEN DOOR POLICY AND MONREO DOCTRINE wants to controll the global na wamefanikiwa kwa percent kubwa.

Je, utafurahi ukifanikiwa kupata kazi ktk jeshi la marekani?
 
vipi wamarekani wameshindwa kuweka military bases china na north korea? naona cuba wamefanikiwa(guantanamo bay)
Ishu sio kushindwa mpaka hapo wamefanya kazi kubwa sana let them be super power sidhani kama kuna nchi inaweza fanya vita na hiyo kitu. Duuu sio mchezo...
 
Ishu sio kushindwa mpaka hapo wamefanya kazi kubwa sana let them be super power sidhani kama kuna nchi inaweza fanya vita na hiyo kitu. Duuu sio mchezo...
Vita havina macho.Mbona wameshindwa na wanamgambo tu wa Taliban?.Daima wanakufa nao.
 
ground force noma kaka! Mi ninasomea PCM nafikiri watanipa AIRFORCE, Sana ukitaka kuapply ktk jeshi lao inakuaje? Kwani wewe unafanyakazi jeshini?

Dogo PCM haiwezi kukupeleka Airforce we kula kitabu kwanza hata hapo bongo kuna Airforce kama elimu iko vizuri, swali lako la kama niko jeshini ni too personal kwa hapa. Namna ya kujiunga we google us army recruiting agents watakupa
 
Vita havina macho.Mbona wameshindwa na wanamgambo tu wa Taliban?.Daima wanakufa nao.

Telaban ndugu yangu sio wanamgambo, hao ndiyo walikuwa watawala wa Afghanistan, full wanajeshi na wanapata support toka nje hawa watelaban kumbuka marekani aliwasaidia kupigana na Mujahidin ambao walikuwa watawala hapo mwanzo, watelaban waliwashinda warusi wakisaidiwa na USA, sasa USA anapigana na mshirika wake enzi za kumwondoa Mujahidin madarakani na kupoteza kabisa mrusi.
 
Dogo PCM haiwezi kukupeleka Airforce we kula kitabu kwanza hata hapo bongo kuna Airforce kama elimu iko vizuri, swali lako la kama niko jeshini ni too personal kwa hapa. Namna ya kujiunga we google us army recruiting agents watakupa

Wacha longo longo wewe. Hata tofauti ya army na marines hujui halafu unataka kumdanganya dogo kuhusu jeshi la Marekani.
 
Duh, post hii ni ya maana sana. Nimeelimika sana. Haya ndiyo tunayotaka. Siyo kila siku kutuletea mambo ya kijinga ya CHADEMA na 'NGUVU YA UMMA'.

Utajuaje kama nayo nguvu ya umma hawana mkono wao? Mbona nguvu ya umma ya Libya walikuwemo? Fikiri zaidi ya hapo ulipowekea nukta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom