Orodha ya Heshima na Tuzo alizopata Nyerere kimataifa non from western countries

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
Nyerere_bao_butiama.jpg ​​
Heshima na Tuzo

Nishani

NishaniNchiMwakaRef
Nishani ya José Marti Cuba1975[SUP][1][/SUP]
Nishani ya Tai ya Kiazteki (Ukosi) Mexiko1975[SUP][2][/SUP]
Nishani ya Amílcar Cabral Guinea Bissau1976[SUP][2][/SUP]
Nishani ya Eduardo Mondlane Msumbiji1983[SUP][2][/SUP]
Nishani ya Agostinho Neto Angola1985[SUP][2][/SUP]
Nishani ya Masahaba wa O. R. Tambo (Dhahabu) Afrika Kusini2004[SUP][3][/SUP]
Nishani ya Kifalme cha Munhumutapa Zimbabwe2005[SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP]
Nishani Ubora wa Lulu ya Afrika (Bwana tukufu) Uganda2005[SUP][6][/SUP]
Nishani ya Katonga Uganda2005[SUP][6][/SUP]
Medali ya Ukombozi wa Kitaifa Rwanda2009[SUP][7][/SUP]
Medali ya Kampeni Dhidi ya Mauaji ya Kimbari Rwanda2009[SUP][7][/SUP]
Nishani ya Kikale cha Welwitschia Mirabilis Namibia2010[SUP][8][/SUP]
Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tanzania2011
Nishani ya Kitaifa cha Burundi Burundi2012[SUP][9][/SUP]
Nishani ya Jamaika Jamaika[SUP][10][/SUP]
Tuzo


Kisha kufa

 

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
Jambo la kushangaza katika orodha hii hakuna ya kutoka mataifa ya magharibi, zote zinatoka Amerika ya kati na kusini, Ulaya Magharibi, Afrika na bara la asia.

Dalili ya kwamba ukiwa mkweli kwa nchi za magharibi hutambuliwi hata ufanye makubwa ya kuushangaza ulimwengu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom