Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
wana jf pole na majeraha ya uchakachuaji, cuf wameshindwa kuchakachuana au tayari? Ninachoshindwa kujua ni kwa nini nec iliwaruhusu kuchagua viti maalum baada ya kujua idadi na matokeo ya uchaguzi na msimamo wa kura za chama kwangu mimi demokrasia hapo imechachakuliwa. Naomba kuona hao waliochaguliwa wana mvuto gani?
Wake wakubwa wa sisiem ni nani?waulize sisiem watakuambia maana cuf ni wake wadogo wa sisiem
Wake wa kubwa wa ccm ni nccra na nyumba ndogo ni tlp
Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA
Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.
Hiyo Red unamaanisha nini? Udini au? Me am out!!
NEC mshenga Msajili wa vyamaHizi ndoa zimefungwa wapi? lini?, nani kafungisha na nani shahidi?
Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA
Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.
CUF ni chama cha KIDINI YA KIISLAM ,ANGALIA MWENYEWE KATIKA MAJINA HAYA SABA NI WAISLAM NA MMOJA NI MKRISTU.
7 out of 8 wanatokea Madrasa al sul kazi kweli kweli hawa jamaa!