Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
NEC inasema CUF wameshindwa kuwakilisha majina ya VITI MAALUM sio kwamba walikuwa wakisubiri upepo ili nao wafanye uozo wa kupeana na zamu hii wameambulia namba za viatu vya watoto. Ili haki SAWA itendeke walitakiwa kufanya uteuzi na kuwakilisha kama walivyofanya wenzao wa CCM na CHADEMA ikiwa mtu wa kwanza kwenye orodha anakuwa wa kwanza hadi orodha yako itakapopigiwa msitari. Hawa CUF UCHAKACHUAJI wa Majina huko wazi kwani wanaandaa orodha mpya!!!!!