Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,149
- 13,289
Haombi radhi mtu hapa... Kwani uongooooooooooo!!!!!!!!!!!
Afu charminglady una khabari kuwa mimi ndiye rais wa Chit-Chat na waziri mkuu ni Mungi?
Last edited by a moderator:
Haombi radhi mtu hapa... Kwani uongooooooooooo!!!!!!!!!!!
Afu charminglady una khabari kuwa mimi ndiye rais wa Chit-Chat na waziri mkuu ni Mungi?
Afu charminglady una khabari kuwa mimi ndiye rais wa Chit-Chat na waziri mkuu ni Mungi?
asante kwa kunielekeza itifaki imezingatiwa mkuu. miaBujibuji ni mh. kessy
Anaitwa Sylivester Massele Mabumba. Ni Mbunge wa Dole Zanzibar kwa tiket ya CCM pia ni Mwenyekiti wa Bunge.
Habari Zenyu binafsi......................
Ifuatayo ni orodha ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa CHIT CHIT......
1. measkron = Jestina Mhagama
2. Paloma = Halima Mdee
3. watu8 = J. Mnyika
4. Filipo = G. Lema
5. Kaizer = Mrema
6. Nicas Mtei = P. Mulugo
7. gfsonwin = Anne Kilango
8. Arushaone = John Komba
9. marejesho = Ester Bulaya
10. Passion Lady = Grace Kiwelu
11. Madame B = Anne Makinda
12. Arabela = Celina Kombani
13. Erickb52 = Idd Azzan
14. Chocs = Suzan Lyimo
15. mimisa = Aisha Kigoda
16. Rock City = E. Wenje
17. Ruttashobolwa = Jumanne Maghembe
18. Mr Rocky = H. Kiwia
20. sosoliso = Andrew Chenge
21. stevoh = John Cheyo
22. FP = Hawa Ghasia
23. KOKUTONA = Gaudensia Kabaka
24. ram = Magdalena Sakaya
25. nitonye = Wassira
26. Baba V = Shukuru Kawambwa
27. King'asti = Janeth Masaburi
28. Chimbuvu = G. Mkuchika
29. Bishanga = Job Ndugai
30. Bujibuji = Mwakyembe
31. Asprin = Ndesamburo
32. Nivea = Lucy Owenya
33. KakaKiiza = Ole Sendeka
34. Smile = Vick Kamata
35. Asnam = Beatrice Shelukindo
36. Mtambuzi = John Shibuda
37. Ben Saanane = Serukamba
38. Nyani Ngabu = Tundu Lissu
39. Mwita Maranya = Zitto Kabwe
40. Preta = Rosemary Kirigini
41. sweetlady = Ms. Mabumba
42. Mungi = Msigwa
43. mzabzab = Filikunjombe
44. Kipaji Halisi = Lusinde
Haya ongezea na wengineoooooo
Ndimi Karani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa CHIT CHAT......
CL
vigezo na mashariti havijazingatiwa"Sitoi wala kupokea rushwa" :teeth:
Habari Zenyu binafsi......................
Ifuatayo ni orodha ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa CHIT CHIT......
1. measkron = Jestina Mhagama
2. Paloma = Halima Mdee
3. watu8 = J. Mnyika
4. Filipo = G. Lema
5. Kaizer = Mrema
6. Nicas Mtei = P. Mulugo
7. gfsonwin = Anne Kilango
8. Arushaone = John Komba
9. marejesho = Ester Bulaya
10. Passion Lady = Grace Kiwelu
11. Madame B = Anne Makinda
12. Arabela = Celina Kombani
13. Erickb52 = Idd Azzan
14. Chocs = Suzan Lyimo
15. mimisa = Aisha Kigoda
16. Rock City = E. Wenje
17. Ruttashobolwa = Jumanne Maghembe
18. Mr Rocky = H. Kiwia
20. sosoliso = Andrew Chenge
21. stevoh = John Cheyo
22. FP = Hawa Ghasia
23. KOKUTONA = Gaudensia Kabaka
24. ram = Magdalena Sakaya
25. nitonye = Wassira
26. Baba V = Shukuru Kawambwa
27. King'asti = Janeth Masaburi
28. Chimbuvu = G. Mkuchika
29. Bishanga = Job Ndugai
30. Bujibuji = Mwakyembe
31. Asprin = Ndesamburo
32. Nivea = Lucy Owenya
33. KakaKiiza = Ole Sendeka
34. Smile = Vick Kamata
35. Asnam = Beatrice Shelukindo
36. Mtambuzi = John Shibuda
37. Ben Saanane = Serukamba
38. Nyani Ngabu = Tundu Lissu
39. Mwita Maranya = Zitto Kabwe
40. Preta = Rosemary Kirigini
41. sweetlady = Ms. Mabumba
42. Mungi = Msigwa
43. mzabzab = Filikunjombe
44. Kipaji Halisi = Lusinde
Haya ongezea na wengineoooooo
Ndimi Karani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa CHIT CHAT......
CL
Vigezo gani vimetumika kuwapata hawa so called wabunge wa chitchat?
Mpaka sasa sijapata Katibu Muhtasi wa Jimbo langu, vipi waweza nisaidia kwa hilo?
Mhh labda uwaulize wenye jukwaa lao, mie huwa mpitaji tu humu siku hizi
umeona eeeh... Unaweza jikuta siku moja umekuwa waziri!!!!!