Orodha inaendelea kuongezeka

atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.

Kama hahusiki je?
 
Mungu tusaidie tunapoenda sio kwa kwel.
 
atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.
Umeamkaje leo Buji? Heri ya Ulimboka instincts za udaktari zilimfanya akasurvive. Roma wetu, huyo unayemsema na Ben sijui we acha tu. Ndo shule cha marwa alienda kusoma Rwanda nini?
 
I beat job night nail
nimepiga kazi usiku kucha
 
MASOUD KIPANYA na zile katuni zake,YERICKO NYERERE,EDO KUMWEMBE,MALISA GODLISTEN,WEMA SEPETU n.k n.k n.k wajiangalie maana haya mambo wakubwa hawapendi bas tu hawana jinsi
Hasa masoud kipanya yule ndo huwa anahit to the point japo kwa fasihii ya hali ya juu sana
 
MASOUD KIPANYA na zile katuni zake,YERICKO NYERERE,EDO KUMWEMBE,MALISA GODLISTEN,WEMA SEPETU n.k n.k n.k wajiangalie maana haya mambo wakubwa hawapendi bas tu hawana jinsi
Naona itangazwe watu wajitahidi kuwa angalulau wawili au watatu muda mwingi na pia akija mtu kukuhitaji uende polisi basi kuwepo na ushahidi wa majirani au mjumbe, hakuna kuaminiana tena nchi hii, ianzishwe kampeini ya watu kuishi kwa tahadhari sana, ndipo tulipofikia
 
Naona kama kuna sinema inatengenezwa.
 
atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi mambo Watanzania wenzetu waishio Pemba wameshazoea, ni sisi wabara ndio tunaona mageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…