ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

Tsyamatsy

Senior Member
Sep 9, 2023
115
159
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas.

Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala ya gas Sasa inatosha unyevunyevu wa Maji Maji. Na mtungi Bado uko na uzito wa karibu nusu.

Sasa mnatumia fursa hii ya kutokuonekana Kwa kilichomo ndani ya mtungi kutujazia sijui Maji ili uzito uwe ni Sawa?

Hii inaonyesha kuwa ni MAKUSUDI hiki kitendo mnakifanya na waTanzania wengi tunaathirika.

IMG_20240502_072309_337.jpg
 
Acheni upotoshaji.

Kilichotokea ni kuwa hiyo burner yako(kinachotoa gesi) imelowa. Na imekuwa ni tabia yako kwa sababu mpaka imenasa kutu.

Sasa maji yakipita kwenye matundu husika ya burner yako basi itachelewa kutoa gesi mpaka maji hayo yakaukiane.

Nini cha kufanya?
Usiweke sufuria ama chombo chenye maji maji juu ya jiko lako. Hakikisha unakausha chombo chako kwanza..

Kama yameingia tayari, zima jiko lako. Ifute fute burner yako, ikikauka endelea na mambo yako.
 
📝

Mamlaka husika wako wapi? Ila watu bana. Hata kwenye nafaka gunia unakuta wanaongezea kilo kadhaa za mchanga. Kuna wakati Vietnam walikataa korosho zetu kwasababu ya mawe kuongezwa.

Ukienda kwenye mizani ni hivyo hivyo. Na huyo mnyonge anayeonewa na kuibiwa naye siyo mtakatifu ni mwizi vilevile kwenye nafasi yake.

Yani wote sisi ni WACHAWI na WEZI.
 
Mitungi ya Oryx saizi haidumu na gas, imagine mi naishi kisela lakini mtungi mdogo hauchukui round, gas inaishaje simple hivo kwenye gheto la msela?!!
Dogo potezea tu pia wewe ni mwizi kwenye nafasi yako. Wote sisi ni wezi na wachawi. Tunalizana it's a bitter pill to swallow just move on.
 
Acheni upotoshaji.

Kilichotokea ni kuwa hiyo burner yako(kinachotoa gesi) imelowa. Na imekuwa ni tabia yako kwa sababu mpaka imenasa kutu.

Sasa maji yakipita kwenye matundu husika ya burner yako basi itachelewa kutoa gesi mpaka maji hayo yakaukiane.

Nini cha kufanya?
Usiweke sufuria ama chombo chenye maji maji juu ya jiko lako. Hakikisha unakausha chombo chako kwanza..

Kama yameingia tayari, zima jiko lako. Ifute fute burner yako, ikikauka endelea na mambo yako.
Hayo huyasemayo yamefanyika, sifanyi biashara ya gas Wala mkaa na Wala Sina faida yoyote ya kupotosha umma, ukweli lazima usemwe na kama Kuna kasoro wazirekebishe. Kuna jirani yangu nae alipata tatizo kama Hilo, Kwa iyo nae ni mpotoshaji?
Usikimbilie tu to conclusion eti ni upotoshaji, wakati watu wanathirika Kwa huduma mbovu.
 
SHIDA NI HIYO BURNER YAKO MKUU..

Inaonekana imekula chumvi ya kutosha, haifanyi kazi ipasavyo, badala ya kuleta gas inaleta maji..

Kumbuka hiyo mitungi ina "LIQUIFIED GAS", hivyo kama burner ina fault itashindwa kuiconvert hiyo liguid gas into gas, mwisho wa siku ndiyo unapata matokeo kama unayoyapata hapo.

Kanunue burner ingine uone kama utaendelea kupata hilo tatizo.
 
Mkuu unamaanisha nini kwenye bold hapo?

Rudi tu nyumbani
Naona hata Kiswahili chetu adimu umeanza kukisahau.

Matundu niliyomaanisha hapo ni (gas burner holes). Kwa kuwa unatokea Nanjilinji ambapo Kiswahili nacho ni chenga, basi kwa jina lingine ni matobo.
 
Acheni upotoshaji.

Kilichotokea ni kuwa hiyo burner yako(kinachotoa gesi) imelowa. Na imekuwa ni tabia yako kwa sababu mpaka imenasa kutu.

Sasa maji yakipita kwenye matundu husika ya burner yako basi itachelewa kutoa gesi mpaka maji hayo yakaukiane.

Nini cha kufanya?
Usiweke sufuria ama chombo chenye maji maji juu ya jiko lako. Hakikisha unakausha chombo chako kwanza..

Kama yameingia tayari, zima jiko lako. Ifute fute burner yako, ikikauka endelea na mambo yako.
nakazia hata mimi iliwahi kunitokea
 
Zambia kuna cooperative ya maziwa waliweka sheria wakipima maziwa kutoka kwa vikundi kabla ya kununua na kukuta yamekachuliwa hawayanunui tote kwa pamoja. Kwa iyo hivyo vikundi vya maziwa walikuwa makini sana
 
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas.
Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala ya gas Sasa inatosha unyevunyevu wa Maji Maji. Na mtungi Bado uko na uzito wa karibu nusu.
Sasa mnatumia fursa hii ya kutokuonekana Kwa kilichomo ndani ya mtungi kutujazia sijui Maji ili uzito uwe ni Sawa?
Hii inaonyesha kuwa ni MAKUSUDI hiki kitendo mnakifanya na waTanzania wengi tunaathirika.
Pole sana mkuu
 
Burner unazeeka nayo 😂😂😂
 
Hakuna mwenye uwezo wala teknolojia ya kuchanganya / kuchakachua gesi na maji angalia hio burner yako.... Yaani maji yanakuwa compressed yanakuwa gesi au wakifanya hivyo maji yatatuama chini na gesi itabakia juu
 
Back
Top Bottom