fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Habari zenu
Tukiwa hapa kijiweni Bamaga, tukipiga story mbili tatu anakuja jamaa Mshikaji wetu anayefanyia TBC ambapo Ni mmoja kati ya waendesha kipindi fulani...Baada ya kupiga story mbili tatu tumejikuta tunamwuliza kuhusu hili kundi baada ya kupotea ghafla katika ramani ya vichekesho.
Naye alichotujibu ni anasikia kundi limevunjika Kimyakimya kila mtu anapiga issue zake..
Kuna mwenye habari zaidi kuhusu Kuvunjika Kwa Group Hili???
hivi bado wapo hawa?
Choka mbaya siku hizi naona wanarudia tuu episodes za zamani.
Masanja yuko busy anaihubiri injili
huyu aliyetuma hii post ni bambo au mtanga suala la kina mpoki kufulia ni uongo mfano mi binafsi kama nitaangalia comedi basi ni mpoki,joti,masanja mkandamizaji punjalishedo steringi mangisheduu the bigi sineki kutoka shinyanga vijijini. Wale ndo wakali hawa kina mathawe wanalazimisha vitu ambavyo sio talent yao