Orijino komedi ya Masanja chali, haina mvuto tena

Hakuna Atakaye Bisha Kuwa Kikundi Cha Uchekeshaji Cha Orijino Komedi Kimejizolea Umaarufu Hapa Nchin Pia Walikuwa Wakifanya Vizuri Sana Na Staili Zao Za Kuigiza Viongoz Lakin Tangu Wameamia Kule Kwenye Chanel Ya Baba Ridh Jamaa Wameanza Kushuka Kisanaa Pia Kutoa Segment Ya Kuigiza Nyimbo Za Wasanii Kumechangia Wao Kupoteza Radha Iliyokuwepo.hivi Karibun Kilicho Kuwa Kina Wabeba Ni Ile Sehemu Ya Copy&paste Sasa Naona Kama Haipo.jamaa Wana Vipaji Ila Wajipange Wale Wenzao Wa Jiran Eatv Wana Anza Kuwapiga Bao So Wajipange Warudi Mi Ni No 1 Fan Wao

Bambo na wewe unaingiaga JF????,karibu sana mkuu
 
Hawana jipya. Mkandamizaji mwenye mwanzo asubuhi yupo fb na page yake.mazoezi atayafanya saa ngapi.
 
Washikaji Wameangukia Pua Wajipange Maana Sasa Si Wasanii Ila Ni Wafanya Biashara Za Matangazo
 
Wamemtoa mwenzao kafara. Very soon watatembelea kucha

Sent via EyePhone
 
Wamelewa sifa pia kukosa ubunifu,mfano ishu ya kop & paste wa2 wengi hawajaikubali.shortly ni ka watz wamewazoea vile
 
yaani bora original komedi mara 1000 kuliko hao wa EATV wanachefua tu hamna kitu wanafanya kiukweli
 
yaani bora original komedi mara 1000 kuliko hao wa EATV wanachefua tu hamna kitu wanafanya kiukweli
wanaojitahidi ni KANJIBAI na SHABANI, angalau utacheka. Hao wengine michosho
 
Hakuna Atakaye Bisha Kuwa Kikundi Cha Uchekeshaji Cha Orijino Komedi Kimejizolea Umaarufu Hapa Nchin Pia Walikuwa Wakifanya Vizuri Sana Na Staili Zao Za Kuigiza Viongoz Lakin Tangu Wameamia Kule Kwenye Chanel Ya Baba Ridh Jamaa Wameanza Kushuka Kisanaa Pia Kutoa Segment Ya Kuigiza Nyimbo Za Wasanii Kumechangia Wao Kupoteza Radha Iliyokuwepo.hivi Karibun Kilicho Kuwa Kina Wabeba Ni Ile Sehemu Ya Copy&paste Sasa Naona Kama Haipo.jamaa Wana Vipaji Ila Wajipange Wale Wenzao Wa Jiran Eatv Wana Anza Kuwapiga Bao So Wajipange Warudi Mi Ni No 1 Fan Wao

Ni kweli kabisa hawana jipya tena. wajipange upya bora wale wa STAR TV. wako poa sana
 
Kuna tofauti kubwa kati ya ku act kama chizi na kufanya commedy. Hawa wa EATV wanafanya uchizi
 
Ni kwl kabisa yaan sometym inaboa kabisa ila joti anajitahid kuna k2 flan cha zaman kinamic cjui n.nn.Nao washafulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom