Eko the comedy eatv nyie noma,the origina komedi tbc1 wana kazi ya kufanya...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Wakuu kama wewe ni mpenzi wa comedy hasa za kibongo utakubaliana kundi la comedy linalorusha vipindi vyake kila alhamisi kuanzia saa 1 usiku ni noma..jamaa ni talented na wanajua kuchekesha kuanzia maneno mpaka vitendo..kunajamaa mmoja anajihita Masawe uwa ananifurahisha sana,kuna Bambo na wengine wengi...Ukiangalia the original komedy ya akina masanja ni kama wameishiwa vile,uwa sivutiwi sana kuwaangalia kwasasa.Hawana mambo ya kuchekesha wala kufurahisha sana kwasasa..nadhani wameanza kupoteza malengo...Well done EATV comedians!!!
 
Back
Top Bottom