only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
...Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa hawa vijana wa Original Komedi wakiwa EATV.Kwa kweli nilikuwa sikosi kila kipindi hiki kilipokuwa kikirushwa,baada ya kuamia TBC1 vijana hawa wamekosa mvuto...maneno yao mengi ni matusi na issue za mapenzi zaidi...nazidi kuwapotezea kwa kiwango kikubwa.....