...Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa hawa vijana wa Original Komedi wakiwa EATV.Kwa kweli nilikuwa sikosi kila kipindi hiki kilipokuwa kikirushwa,baada ya kuamia TBC1 vijana hawa wamekosa mvuto...maneno yao mengi ni matusi na issue za mapenzi zaidi...nazidi kuwapotezea kwa kiwango kikubwa.....
we huoni kumtetea manji kumponda mengi ndo wamekalia na sasa wasipokua makini watafunikwa kabisa maana sasa kuna ushindani mkubwa toka chanel 10, star tv shauri yao tutawasahau
mie ndo nimesahau kwa mara ya mwisho nimewaangalia lini. nakumbuka siku moja nilipanda nao ndege kutoka Kigoma kuja Dar walikua wanafanya mambo ya ajabu kama watoto wadogo. Washaishiwa maana sasa imekua si Comed tena ila ni sehem ya matusi na majungu
Ukiona mtu anakipa shavu chama cha mafisadi ujue tayari naye amekwishafisidika.Mliwashuhudia kwenye rally kipindi cha kampeni wamevaa masketi yao wakimkampenia Kikwete na CCM yake.Unategemea atoka mtu wa maana tena hapo wakati mawzo yashaingiwa na virus za ccm?kwisha habari yao hao!
They just useless i can't loz ma time 2 show them.They h've nothin new to make me lough more dan majungu,usembo sembo an somethin including utondo.bora nikae na katotoo cha miaka mitatu naweza kucheka hapo eeeh.