Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Vijana wanaganga njaa mjini.Lakini Tbc wasipo kuwa makini na hao vijana kujikita na kampeni za ccm hata wachache wanao angalia TBC wata sepa woteTv yenyewe wanayotumia ni TBC jamani nani anaangalia tbc leo? Hata mleta habari sijui alipitiwa au ni mmoja wao wa wapinga demokrasia hapa nchini
Maskini vijana hawajui siasa chafu za ccm za kumnunua Zito.Bahati nzuri wana cdm wanajua ndiyo maana huoni mtikisiko wa dhahiri zaidi ya ule unao igizwa na maccm.Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe! " msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Ni mjinga tu anayeweza kufikiri ccm wanataka suruhu na Zito.Kilio cha ccm kikuu ni kuona wamempa hela Zito aimalize cdm halafu haijaisha.Wana tamani asifukuzwe yamkini ajaribu tena kuliko mkenge walio ingizwaWameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe! " msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Kama Zito alikuwa msaada kwa chadema si ndiyo vizuri Kwenu maccm mpate mtelemko akifukuzwa?Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe! " msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Duuuu!!! Aisee...masanja na wenzake kwanza ni mashoga, nakumbuka waliletwa igunga kukapaign ccm wakizani watazua hamasa, hakuna lolote wale njaa saaaana ndo mana wanaliwa kabang!
Ukweli mchungu sana huu , maana MBOWE sasa hivi ni kama anatembea uchi wa mnyama kwa aibu za uzinzi na wizi wa fedha za hongo ya mkono na rostam
Ukweli mchungu sana huu , maana MBOWE sasa hivi ni kama anatembea uchi wa mnyama kwa aibu za uzinzi na wizi wa fedha za hongo ya mkono na rostam
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji