Original comedy wanapewa nini na CCM?

Hawa jamaaa ni pesa ndo maana wakati wakiwa eatv walikuwa wanawaiponda serikali sana ila sasa wanaisifia hata kwa baya,kama una mkwanja wa kutosha unaweza kuwahamisha na wakafanya kazi utakayotaka wewe....isipokuwa ile kazi nyingine ile ndo hamna........
 
Kweli we mwanzisha mada ni kilaza...katika siku zote nilizoangalia Zecomedy leo ndio wamewapendelea mno CHADEMA, na sio kuwapendelea wameongea fact tupu, wamewapa kubwa CCM kwamba wamechakachua kura za CDM kwani tangu mwanzo kila box ni kura za "magwanda" means CDM ila baadae walivyoanza kuchakachua, aaagh " Box zote..tawala"...means CCM...sasa hapo mkuu utasemajje Zecomedy wameipendelea CCM, acha zako bana!! Bgup zecomedy
umewaelewa vizur lkn kaka?,wanadai mwanzon upinzan ulijifarij kwa vikura vya mwanzo mwanzo lkn mwishowe chali,.ulimuona yule mshenz aliyejifanya slaa?
 
Leo kusema kweli hawajaponda chadema ila wamesema chadema wamechakachuliwa inshort. Maybe kama mna wajudge ingeneral lakin si kwa ishu ya leo ya chadema.
 
ndugu yangu wale ni kazi kama wanavyofanya wengine wale wapo kikazi zaidi hii nchi kila mtu anangalia masilahi yake ndio mana hakuna mzalendo je we ccm wakikualika kwenye tukio alafu wakasema watakupa mkwanja wa mana hutauzulia?wakati kila leo we unatafuta pesa

kutafuta pesa kwa mwendo huu? Kaka angalia sana kama na wewe unatafuta pesa kwa tamaa hiyo acha mara moja maana ukipelekwa uarabuni pesa utaipata lakini......zipo njia nyingi za kupa pesa bwana lakini siyo mpaka kufikia hatua ya kujidhalilisha na kudhalilisha utu na taifa lako
 
Jamani hebu leteni thread zenye mashiko, mnahangaika na hawa waganga njaa, hivi hamjui kuwa njaa ni nomaa inaweza kukudharirisha wakati wowote na mahala popote.
 
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

Njaa ni mbaya sana,usishangae mtu kuwakana wazazi wake adharani.Hawa jamaa siku nyingi mbona wanaidifia ccm na kuiponda Chadema,mfano waliwahi kutoa kichekesho(kipindi vikao vya Bunge vikiendelea)waliilenga Chadema kwa kuwaonyesha kuwa wanavuta bangi kwanza kabla ya kuingia ktk vikao vya Bunge.Hawafai kwa jamii sababu wanaeneza chuki badala ya amani
 
Hivi huyu mwita25 ni mtanzania?tunaweza tukawa tunachangia na wakenya humu bila kujua!
 
Ukweli ni kwamba hawa madogo sasa hivi hawana jipya na walishaanza kupoteza long time. Laiti wangeona hizi comments kisha wakajaribu kuwa wabunifu zaidi. Maana nahisi soon watapotea!
 
Hawa jamaaa ni pesa ndo maana wakati wakiwa eatv walikuwa wanawaiponda serikali sana ila sasa wanaisifia hata kwa baya,kama una mkwanja wa kutosha unaweza kuwahamisha na wakafanya kazi utakayotaka wewe....isipokuwa ile kazi nyingine ile ndo hamna........

ha ha haaaa! Kazi gani hiyo mdogo wangu au ndo ile watu wa Mombasa wanawafanyia vijana
 
Hawa vilaza msihangaike nao. mie nishamsikia yule mkuu wao Wakuvangwa anasema alitaga form four sasa mnategemea nini kutoka kwenye kundi ambalo kiongozi wao ali differetiate 4m four nadhani hii ni obvious. Ingie hapa muwape vidonge vyao.
Orijino Komedi
 
Haaaaaaaaa Tawalaaaaaaaaa kila likija Tawalaaaaaaaa eh eh eh kila box likija Tawalaaaaaa niukiwauliza wasimamizi wenzangu vipi huko Tawalaaaaaaa
 
Hiyo hapo chini ndio Message niliyomwandikia Masanja.
----------------------------------------------------------------------------
Ndugu yangu Masanja,
Mm ni mmoja wa waliokuwa mashabiki wenu wakubwa enzi mkiwa EATV na mwanzoni mlipoanza TBC oNE .
nilipenda sana vipindi vyenu, Hivyo kupelekea kuwa mtazamaji wenu mkubwa.
Lakini siku za hivi Karibuni Nikiri mmekuwa mkiboa sana. Najua Masanja ww ndio mwenye upeo angalau, katika grupu lenu lililokuwa la uchekeshaji.
Na ndio maana uligundua kuwa mmeanza kupoteza mashabiki hivyo ukaanza kutumia vionjo kuwa kama "mtu anawapenda awaaangalie kama hawapendi awapotezee".
Kitendo chenu cha leo hii cha kuikejeli CHADEMA wazi wazi Mkikiita CHADEMA magwanda na CCM tawala nikiri hakikuwa kinachekesha kama lengo lenu linavyotanabaisha bali linakera watu wenye itikadi fulani na linafurahisha wenye itikadi nyingine. Kifupi mmepoteza mvuto kwenye Jamii kwa Kujiingiza kwenye siasa. Ya wanasiasa waachieni wanasiasa.
Hili la kujipendekeza kwa chama tawala, Mmekuwa manakera mpaka basi! Masanja ningekua mshauri wenu ningewaasa muachane na mambo ya propaganda ya CCM na muwe wazalendo hata nukta. Kama ni pesa mnaweza kuzitafuta tu bila kuwa biased na upande wowote kisiasa.
Ndugu yangu Masanja Najua TBC ni kituo cha Umma kama mnalipwa Pesa zinatoka zinatoka kwa walipa kodi watanzania i.e hao unaowaita magandwa kwa Kejeli na hao unaowaona wa thamani sana na kuwaita Tawala, Ndugu zanguni najua maisha ya TZ ni magumu mno kwa sasa(mpaka baadhi ya wanaume wanaamua kuingiliwa kinyume) lakini naomba mungu nyie msifikie huko(ingawa kwa hali inavyoonyesha mnaeleke huko) Masanja Nakuasa kama mdogo wangu Propaganda sio njema na zinawapoteza katika Ramani ya sanaa hapa Tanzania. Au mmesahau enzi zile ikishafika mida ya kipindi chenu haonekani mtu barabarani wote wako kwenye TV? jirekebisheni mnaweza kabisa kurudia enzi zenu.
Fikisha salamu zangu kwa wenzio wote......Nashukuru kwa kupata wasaaa wa kukuandikia. Niwakumbushe kuwa "Sleep is the cousin of death"
Wasalaam
Mchaka Mchakani.
 
HUku kwetu TV inashika ya Uganda , Radio ni Rwanda sasa hiyo TBC wala siijui .Tusimulieni hakika tujue kwa undani .
 
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

ni mataira wanafiki yaan niliwangalia nikata ni wapige vibao tatizo wamefadhiliwa na fisad manji
 
Back
Top Bottom