jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Hawa jamaa enzi wakiwa EATV, wamama wengi sana walikuwa wanaunguza mboga! Ni namna tu walivyokuwa wanakonga roho za watu. Ikifika Alhamis, watu wakawa wanaacha mambo mengine na kujongea karibu na runinga zao. Walikuwa moto moto sanaaa.Enzi hizo walikuwa wanajituma,wanakuwa wabunifu kwa kuwa walikuwa bado hawana magari na nyumba mjini.Walikuwa na adabu.
Baada tu ya hawa jamaa kupata vijisent vya kununua magari na kujenga nyumba mjn,wakaanza kudharau sanaa. Wakawa wanajifanya wajuaji. Huku walipo TBC1 (Ze Comedy) ni kama wamepwaya sana hawa jamaa.Usela mwingi.
Badilikeni nyie Original Comedy, mtakufa njaa mjn.Hamna vipaji vingine, cha kuhubiri Masanja analazimisha tu.Hana mvuto.