Unafiki, ni kwa sababu Mwezi huu wa Octoba ni mwezi wa Unafiki kwa Mwalimu. Na hii ni Dhambi ambayo itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo.
Ikifika mwezi Octoba, Serikali ndio inakumbuka kwamba kuna mtu aliwahi kuishi anaitwa Mwl Nyerere, wanaandaa maua mazuri wanaenda kuweka Juu ya Kaburi lake pale Butiama, na wanapigwa picha Dunia nzima ione. Unafiki.
Mungu Ibariki Tanzania