Orgy inayoendelea Butiama

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
when will it stop?

Nyerere alikuwa hataki hizi publicities wanazompa leo na nashangaa akina Makongoro nao wameingizwa vipi kwenye hi trap

Ahh lakini wanasiasa tulionao ndio hao hao walioandaliwa na mwalimu so we are back sto square 1

Btw 70% ya waTanzania ni under 30 na watoto waliozaliwa 1992 leo wanaweza kupiga kura and all they are left with hi haya ma dinosaurs ambayo hayataki kupisha damu mpya na wengine wanataka kurudi
 
Unafiki, ni kwa sababu Mwezi huu wa Octoba ni mwezi wa Unafiki kwa Mwalimu. Na hii ni Dhambi ambayo itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo.
Ikifika mwezi Octoba, Serikali ndio inakumbuka kwamba kuna mtu aliwahi kuishi anaitwa Mwl Nyerere, wanaandaa maua mazuri wanaenda kuweka Juu ya Kaburi lake pale Butiama, na wanapigwa picha Dunia nzima ione. Unafiki.
Mungu Ibariki Tanzania
 
when will it stop?

Nyerere alikuwa hataki hizi publicities wanazompa leo na nashangaa akina Makongoro nao wameingizwa vipi kwenye hi trap

Ahh lakini wanasiasa tulionao ndio hao hao walioandaliwa na mwalimu so we are back sto square 1

Btw 70% ya waTanzania ni under 30 na watoto waliozaliwa 1992 leo wanaweza kupiga kura and all they are left with hi haya ma dinosaurs ambayo hayataki kupisha damu mpya na wengine wanataka kurudi

wape pole hawa masikini wa roho.........
 
kichwani mwangu
us.jpg
 
when will it stop?

Nyerere alikuwa hataki hizi publicities wanazompa leo na nashangaa akina Makongoro nao wameingizwa vipi kwenye hi trap

Ahh lakini wanasiasa tulionao ndio hao hao walioandaliwa na mwalimu so we are back sto square 1

Btw 70% ya waTanzania ni under 30 na watoto waliozaliwa 1992 leo wanaweza kupiga kura and all they are left with hi haya ma dinosaurs ambayo hayataki kupisha damu mpya na wengine wanataka kurudi

Makongoro anaganga njaa tu, mama maria anatumia busara tu japo ni za kijima
 
SR, ungemshauri boss wako asiende Butiama kipindi hiki. Mbona ulimuacha akaenda na mabalozi?? Yale yale..
 
when will it stop?

Nyerere alikuwa hataki hizi publicities wanazompa leo na nashangaa akina Makongoro nao wameingizwa vipi kwenye hi trap

Ahh lakini wanasiasa tulionao ndio hao hao walioandaliwa na mwalimu so we are back sto square 1

Btw 70% ya waTanzania ni under 30 na watoto waliozaliwa 1992 leo wanaweza kupiga kura and all they are left with hi haya ma dinosaurs ambayo hayataki kupisha damu mpya na wengine wanataka kurudi
Pumba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom