Sasa hivi bila kadi ya chama hupati kabisaaaa Kazi Serikalini....Waseme tu kuwa kuanzia sasa moja ya kigezo ni kumiliki kadi ya CCM watu tujuwe moja....Hii hapana asee!!JPM nilikupa kura yangu usinifanye nijutie na wife kunicheka....Maana Wife alikuwa UKAWA mpaka nilitaka "kumuhamishia" kwa Mama Regina ile 2015
Heti na huyu wangu wa zamani kapewa U-DAS huko Same??Hapana hapana hapana huu ni upendeleo
Jamani huyu Kayombo anakuwa DED??Kweli Tanzania nchi yangu balaaaa
View attachment 364354View attachment 364355