Fanyeni kazi majungu sio mtaji.Mletegemea magufuli amteue Ben Saanane? Atafanya nae vipi kazi,wakati hata kumtambua hamtambui
Ili kazi ziende,inabidi kuwe na maelewano toka juu hadi chini,huwezi kuteua mkuu wa mkoa toka chadema,ambako mwenyekiti kuna siku atakurukupuka ataamuru wakuu wote wa chadema wasusie ofisi kwa muda usiojulikana,kazi hazitaenda
Tumeona hapa kwa mameya tu,wote wameambiwa wasusie shughuli za serikali,je kungekuwa na ma Rc na ma Dc? Acheni ccm wateuane ndio waliopewa mamlaka,na siku ukawa wakibahatika kuingia ikulu watafyeka ccm wote,tatizo lipo wapi