OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,072
- 114,557
1. Mkuu wa Mkoa-Paul Makonda
Kada wa Chama cha Mapinduzi ambae ushiriki wake kwenye kampeni za Uchaguzi wa 2015 ulikuwa ni wakujitoa muhanga
2. Mkuu wa Wilaya-Humphrey Polepole
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyekuwa bega kwa bega na kuamua kuweka pembeni katiba ya wananchi
3. Katibu Tawala wa Ubungo-Mtela Mwampamba
Ni kada wa chama cha mapinduzi ambae uteuzi wake umezua gumzo sana.
4. Mkurugenzi wa Manispaa-John Kayombo
John Lipesi Kayombo ambae ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anaewakilisha Vyuo Vikuu nchini
OMBI KWA MUHESHIMIWA RAIS
Muheshimiwa rais makada wanatosha sasa, ziagize mamlaka za uteuzi ziwe makini ili tusije kuletewa wakuu wa idara makada, maVEO makada, Mganga mkuu, walimu, afisa biashara nk makanda