Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 250
- 830
Namaanisha huwa final exam zao zipo under nacte au chuo chenyewe ndo kinajiendesha kupitia mitihani ya ndani ,yaan ordinary diploma yao wanaicontrol wenyewe kama ngazi ya degreeHaijaeleweka msaada unaohitaji n upi
Sheria hairuhusu Chuo husika kujisimamia chenyewe kwenye mitihani ya Diploma (hususani kwa Afya na Elimu) unless hiyo diploma haitambulikani na NACTE.Namaanisha huwa final exam zao zipo under nacte au chuo chenyewe ndo kinajiendesha kupitia mitihani ya ndani ,yaan ordinary diploma yao wanaicontrol wenyewe kama ngazi ya degree
Sawa nimekuelewaSheria hairuhusu Chuo husika kujisimamia chenyewe kwenye mitihani ya Diploma (hususani kwa Afya na Elimu) unless hiyo diploma haitambulikani na NACTE.
Siyo kweli mkuu.Diploma za vyuo vyote vya afya hapa Tanzania ziko chini ya NACTE, na mitihani huandaliwa na kusimamiwa na NACTE.
Maana Bugando yenyewe haipo nacte ,maana hata application zake ni direct chuoni ,kwenye nacte haimo ,ndo maana nilitaka kujua hilo kama kinajicontrol au nacte ndo wanafanya assessment ya mwisho ya wahitimuSheria hairuhusu Chuo husika kujisimamia chenyewe kwenye mitihani ya Diploma (hususani kwa Afya na Elimu) unless hiyo diploma haitambulikani na NACTE.
Hazipo chini ya NACTENdugu wana JF,
Niliomba kuuliza Ordinary Diploma zinazotolewa Bugando za afya, zinakuwa chini ya NACTE, yaani namaanisha, wanakuwa na mtihani wa mwisho unaotoka Nacte kama vyuo vingine vya kati, mfano city college, Chato college.
Au chuo chenyewe ndo huwa kinatoa kipimo cha ufaulu kwa wanafunzi wake ngazi ya diploma labda kahitimu na GPA kiasi au huyu kapata sup.Asanteni
sio kweli kivip diploma za afya zinamamiwa na nactvet hata zilizopo vyuo vikuu wanasimamia nactvet unless iyo diploma haitambuliki tanzaniaSiyo kweli mkuu.
bugando ipo chini ya TCU lakini kama inatoa kozi ambazo lazima zisajiliwe nactvet izo kozi zitakua chini ya nactvetMaana Bugando yenyewe haipo nacte ,maana hata application zake ni direct chuoni ,kwenye nacte haimo ,ndo maana nilitaka kujua hilo kama kinajicontrol au nacte ndo wanafanya assessment ya mwisho ya wahitimu
kwanza sio nacte unaonekana hujui chochote ni NACTVET ukimaliza diploma yoyote ilo matokeo yako yote lazima yapelekwe nactvet ukiingia sehemu ya result verification ukiingiza namba ya form four unatakiwa uyaoneHazipo chini ya NACTE
Soma alichokiandika yeye hajaandia NACTVET kasema NACTEkwanza sio nacte unaonekana hujui chochote ni NACTVET
hakuna kitu kinaitwa NACTE siku izi Ni NACTVET chombo kinachosimamia vyuo vyote ambavyo sio vyuo vikuu kama cbe,ifm,Tia, pamoja na vetaSoma alichokiandika yeye hajaandia NACTVET kasema NACTE
We jamaa umejilisha matango kwa kusoma na kutokuekewa .hakuna kitu kinaitwa NACTE siku izi Ni NACTVET chombo kinachosimamia vyuo vyote ambavyo sio vyuo vikuu kama cbe,ifm,Tia, pamoja na veta
AsanteWe jamaa umejilisha matango kwa kusoma na kutokuekewa .
Unachokisema ni kweli ila si sahih kwa % kadhaa.
Nacte wamejipambanua zaidi wanajiita Nactvet baada ya Kuchukua Control ya vyuo vya kati na Veta.
Baadhi ya Vyuo vikuu vinatumia mifumo ya TCU kuendesha diploma mpaka leo japo ni vichache na ni Mgogoro baina ya Vyuo hivyo ja Nactvet yaani vyuo hivyo vimegoma kuacept mifumo ya Nactvet mfano Afya Cuhas na Muhas.
Usiconfuse Mwanza College na Cuhas. Na Usichanganye Muhimbili College na Muhas
The Rest uko sahih.
Mwenye Uzi wako jibu lako ni Kwamba Diploma za Bugando(Cuhas) ziko TCU mpaka kesho, hawana mitihani ya Nactvet na wanatahiniwa as Degree holders.
Acha uongosio kweli kivip diploma za afya zinamamiwa na nactvet hata zilizopo vyuo vikuu wanasimamia nactvet unless iyo diploma haitambuliki tanzania